Mpira wa Bongo siku hizi unaonyesha wazi: ukijenga brand, fursa na pesa vinafuata.
Fei Toto kwenye dirisha hili la usajili, dau la kuvunja mkataba wake lilifika hadi bilioni 3.5.
Azam wameamua kumuwahi mapema wakijua amebakiza miezi 6 tu kwenye mkataba na timu zinaendelea kumnyemelea. Kuna tetesi Bakhresa ameandaa bilioni 4 signing fee, pamoja na mshahara wa milioni 120 kwa mwezi ili kumshawishi aendelee kubaki Azam kwa miaka miwili ya ziada.
Allan Okello naye ni mfano mwingine. Amecheza nusu msimu tu, lakini performance yake uwanjani na mabao aliyofunga yameongeza thamani ya brand yake. Waarabu wakavutiwa nae wakawa wanamtaka kwa dola laki 7, Enginer akawaambia mjitafakari upya, Hatimaye ameuzwa kwa dola milioni 1, zaidi ya shilingi bilioni 2 na milioni 600, mshahara wake unaweza kuwa mzuri tu
Wachezaji wa kibongo waanze kufikiria zaidi kibunda. Usimba na Uyanga utathaminiwa kwa miaka michache tu ukiwa na nguvu na unaipa timu matokeo. Ukishuka kiwango au umri kwenda, ukionekana mzigo, unatupwa pembeni.
Mpira wa kuchezea timu kwa mihemko umepita. Hizi ni zama za kufukuzia mshiko.