Inside10
Platinum Member
- May 20, 2011
- 34,776
- 42,933
Wakuu nimekuta na hizi allegations huko X na instagram.. n baadhi ya watu wakiweka na ushahidi naiomba mamlaka ichunguze...
Waweza pitia uzi huu
Kuna madai ya Kijana kacheza U17 na U20 vizuri, msimu huu inabidi apewe mkataba wa Senior team, Kocha anamwambia kijana aende akampakue kocha ili a sign huo mkataba Mpira wa Tanzania una ushetani mwingi sana alafu team kubwa hiyo ipo top 4 NBC Kocha amemkazia kabisa, kama hataki arudi U20