Tetesi: Hivi Vitendo Visivyofaa kwenye mpira wetu vidhibitiwe na vichunguzwe

Tetesi: Hivi Vitendo Visivyofaa kwenye mpira wetu vidhibitiwe na vichunguzwe

Kwa maelezo ya mmoja wa machezaji wa hizi academy kubwa kuna viongozi kama wawili kwa nyakti tofauti walimfata dogo wakamwambia kama anataka kucheza timu ya wakubwa awaachie viongozi waishi nae then atapandishwa ktk viongozi hao mmoja ***** mmoja bahasha
Tukamkaatalia aachane nao ila kuna mwalimu mpya kaja kapenda kipaji cha dogo ndo amembakisha ktk timu kwa nguvu yake
Hii michezo waulize watoto wa magomeni tabata kinondoni na temeke watakutajia kuanzia makocha mabahasha na ******* viongozi mabahasha na ******* mpaka machezaji mabasha na *******
Wengine ni fedheha sana
Kuna msemaji wa timu kubwa tu analiwa na bosi kubwa wa timu
Wewe ni mtu wa mjini💯👍
 
Timu zilizo top 4.

Yanga
Simba
Azam
Singida

Makocha

Yanga.. mikoba ya ngisi

Simba .. steve bakari
Azam .. florensi benge
Singida .. muhibu kanu


Sasa hapo kwa picha ya haraka kocha gan anaonekana n MENDE
Kenya African National Union haijawahi kuwa na sifa mbaya.Uzuri kocha wa Wananchi ndo kwanza ni mgeni,msimhusiishe na hayo mambo.
 
Back
Top Bottom