Beki wa Iran atengeneza pasi nyingine ya bao kupitia mpira wa kurusha

Beki wa Iran atengeneza pasi nyingine ya bao kupitia mpira wa kurusha

Jannatul Firdaus

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
446
Reaction score
1,113
Beki wa Iran, Nader Mohammadi, anayekipiga kwenye Ligi ya Russia na Spartak Kostroma, ameendelea kutengeneza gumzo kwenye soka kutokana na uwezo wake wa kipekee wa kutumia flip throw-in kusaidia timu yake kufunga mabao.

Katika kipindi cha wiki tatu tu, Mohammadi tayari amefanikiwa kutoa assist tatu kupitia mipira ya kurusha kwa mtindo huo wa sarakasi, huku kila tukio likiendelea kusambaa na kuwashangaza mashabiki.

Baada ya kuingia kwenye vichwa vya habari mara mbili kwa kutoa assists kupitia flip throw-ins, sasa jamaa amejipata na mtindo huo umegeuka kuwa silaha yake mpya uwanjani.

 
Back
Top Bottom