THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,516
- 5,463
Hua nasema mpira wa Afrika ni wamahesabu sana...
Siku ile yanga kashinda 4 kule ugenini watu wanaleta propaganda eti team mbovu.. sijui hua wanalipwa?
Enhee jana Mamelodi katolewa kwa goli la ugenini tena kwake nae ni mbovu?
Naamini kabisa kwa yaliyomtokea Mamelodi jana ingekua Mamelodi ipo Tanzania kuanzia leo hadi msimu unaisha wachambuzi na mashabiki wangeanza propaganda za Team ni mbovu..mara kocha hafai.
Ila hapa amini kina Jofrey Lea na kina Hans watakwambia hayo ndio maajabu ya Mpira na Bla Bla Nyingi mara wataanza kumchambua Mabululu na kukosekana kwa Mokwena.
Ila Bongo bhana😂😂