Mamelodi kutolewa CAF, ingekua ni team ya Tanzania tena Yanga/Simba zingenzishwa propaganda za Kocha kafel au team mbovu Msimu huu.

Mamelodi imeshuka kiwango hata ligi yao hapa hawatafanya vizuri na tatizo lao lilianza baada ya kumuacha Riberio na kwenda Spain sasa hivi karudi Esperance Mamelodi wa kutolewa na timu haieleweki kutoka Angola aisee na bado unasema wana kiwango kizuri.
Unaongea ujinga sana juzi mamelod kashinda match ya inter continental tena kawapiga Al Ahli ya Ivan Toney au nikuonyeshe Al Ahli ina moto gani?

Wameshinda goli 2-1 na hilo moja walijifunga wao to mean Al Ahli hajafunga goli lake kama yeye

kashinda ile game na saiv yupo robo ya inter continental akifuzu anacjeza na PSG.

Halaf unakuja hapa unasema kashuka kiwango daaah sijui nyie hua mnawaza tu kua Team kubwa ni za kushinda tu yan ishinde tu ikifungwa team mbovu ikifungwa imerogwa. Daaah hamuaminigi kua na team zingine hua zinajiandaaa na kwenye match hua kuna matokeo lazima yatokee.
 
Hivi unaongelea nini Mamelodi katolewa na timu ya mwaka 2018 juzi tu hapa na wametolewa kwenye mashindano ambayo wao wanawekeza fedha nyingi ila ndio wametoka hatua ya mtoano timu iliyowatoa ina wachezaji wawili Mabululu na veterani mwingine..
 
Endeles kufanya research maana inaoneakana unasoma google ndio unakuja kujibu ila ule ni mpira..
 
Timu zote kubwa huwa zinawapa malengo makocha waowakishindwa wanafukuzwa mfano yanga wamempa malengo kocha wao kuchukua kombe la Afrika.
 
Wachambuzi wabongo hawana akili, wanavyoiponda yanga, kisa tu kafungwa na simba, wamesahau Spain alidroo na cape verde, kisha akaja kuchukua kombe la dunia
Na wakati ligi inaanza walikuwa wanaisifia sana yanga na kuiponda simba kwamba bado sana hata aina ya magoli wanayofunga simba ni basi tu ila ghafla wamebadili upepo wanaiponda yanga wanaisifia Simba hao ndio wachambuzi wa Bongo
 
We ni mwanaume unasema kwenda?

😂😂😂
Nina watoto wakubwa kabisa zaidi yako wewe tafsiri yake hata mama yako huenda tulicheza nae kishuleshule au hata katika mademu wangu wa utotoni nayeye yupo!
 
Mamelodi wamekula loss kubwa sana.

Kuna wachezaji hali san
 
Back
Top Bottom