kipindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BabaMorgan

    Kipindi Cha LIVE NA G cha EAST AFRICA RADIO ni miongoni mwa vipindi bora vya Radio Tanzania

    Pongezi kwa mtayarishaji wa kipindi Kuna namna anavyowasilisha maudhui inatoa picha clear kuwa anajua anachofanya na anafanya to the fullest TAARIFA NA MAARIFA. Vipindi vingi vya radio bongo vinafanana kuanzia contents zao ambazo ni burudani na michezo hata muda wa hivyo vipindi unafanana...
  2. ngara23

    Mwanaume Baki na chako mwezi December, ni kipindi cha kuwa single Kwa wanaume

    Nawapa mbinu ya kimafya, Hii mbinu sitarudia tena kuitoa Ukipuuza usije unalia January Kipindi hiki ndo washamba wanapata mademu na majukumu mapya na magumu Kipindi hiki ndo utalipa nauli za kwenda Moshi Kipindi hiki ndo utamnunulia viwalo Kipindi hiki Watoto wake wapo likizo laZima uwatoe...
  3. MK254

    Wayahudi wamechinjwa sana kwenye historia na bado wapo tu, hata mtume Mohammad aliwahi kujaribu kuwamaliza

    Kuna kipindi mtume aliagiza wanaume wa Wayahudi wachinjwe na wakachinjwa sana tu kwa ukatili mkubwa hadi watoto wa kiume waliobalehe, ila hatimaye alijifia na bado Wayahudi wakaendelea kuzaliana.....na hata kabla ya ujio wa mohammad na uislamu, bado kulikua na miungu iliyojaribu kuwafuta...
  4. M

    Neck fan kwaajili ya kukulete Hali ya ubaridi kipindi hichi cha joto.tucheki bei 18,000

    Neck fan kwaajili ya kukulete Hali ya ubaridi kipindi hichi cha joto.tucheki bei 18,000= tupigie simu 0762619116
  5. M

    Quality Unsex Rain Coat kipindi hiki cha mvua kwa Bei ya 8000/= tu!!

  6. A

    KERO Kampuni za Mawasiliano zimeshindwa kuhakikisha huduma bora ya Mtandao Tarafa ya Mashati, Rombo

    Makampuni ya Simu kwa kipindi kirefu sasa zaidi ya Miaka 10 tangu 2010 yameshindwa kuhakikisha Huduma Bora ya Internet katika tarafa ya Mashati, Wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro. Si network ya kupiga simu au ya kutuma ujumbe mfupi (SMS) wala internet, zote ni mbovumbovu na karaha kwa watumiaji...
  7. Mindyou

    Katibu Uenezi CCM Dodoma: Sio kila kifo kinahusiana na uhasama wa kisiasa. Kufa hakusimami katika kipindi cha Uchaguzi!

    Wakuu, Naona ile kauli ya kifo ni kifo inaendelea kufanyiwa kazi kazi ipasavyo na chama kimoja cha siasa hapa nchini. Hawa viongozi wa CCM huwa hawafanyiwagi vetting na kupewa semina on what cha kuzungumza na kwa wakati gani? ====== Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa...
  8. dogman360

    Hii picha inanifrahisha sana kumbe Marekani kuna kipindi alikuwa analisha Urusi na hamsemi

  9. G

    Kama kipindi cha Mzee Kikwete haujakamata pesa na awamu ya sasa bado unasota, hesabia utakufa masikini

    Nchi hii haijawahi kuwa nyepesi kwenye uchumi lakini kuna awamu kadhaa mambo yanakuwa nafuu Kipindi cha kikwete kulikuwa na kampuni kibao, ajira watu wanachagua, mzunguko mkubwa wa pesa, n.k. vijana wengi walishika pesa. Awamu ya Magufuli tunaijua kwamba vyuma vilikaza, ni special case. hii...
  10. Mwamuzi wa Tanzania

    Sasa hivi kuna pesa kama takataka, tangu tupate uhuru hakuna kipindi watu wanaogolea kwenye pesa kama sasa kipindi cha Samia

    Watu wana pesa jamani. Kama za majini au za madili Mimi sijui ninachojua ni kwamba watu wana pesa sana. Yawezekana mifumo ya sasa ni rafiki kwa watafutaji. Tuombe Mungu asitokee tena mtu kama Magufuli aliyevurugavuruga uchumi wa wananchi na wananchi wakamshangilia. Siko hapa kumsifia Rais...
  11. Waufukweni

    LGE2024 DC Malinyi, Waryuba awahakikishia wananchi Usalama na Amani kipindi cha Uchaguzi

    Mkuu wa Wilaya ya Malinyi Mhe. Sebastian Waryuba ameyasema hayo wakati aliposhiriki uchaguzi marathoni Wilayani Malinyi kwa lengo la kuhamasisha Wananchi kujitokeza kupiga kura Novemba 27, 2024. DC Waryuba amesema kuwa huu ni wakati sahihi kwa wananchi kutumia haki yao ya msingi na ya kikatiba...
  12. Mhaya

    Pre GE2025 Vitu vya kuzingatia na vya kutokufanya kwa Jeshi la Polisi wakati wa uchaguzi au kipindi cha Siasa

    Habari za siku mbili tatu wakuu na wananzengo hapa jukwaani? Hi video ni ile ya uchaguzi Mkuu 2020 nimeitumia hapa kutaka kusema kitu kuhusu hizi chaguzi Unajua kwa kawaida kabisa ni wazi Majeshi yetu hayatakiwi kuchagua upande, majeshi yetu hayatakiwi kuonesha hisia zao wazi kisiasa...
  13. Raia Fulani

    Kipindi cha Mizani TBC kwa nini leo Novemba 20, 2024 Dkt. Ryoba hajakiongoza?

    Leo kipindi kinaongozwa na mwanamama. Jina lake sijalinasa. Yupo katibu wa tamisemi ndugu Ndunguru, yupo mtu wa TAKUKURU na naibu msajili Mada inahusiana na uchaguzi ujao wa serikali za mitaa. Naamini kabisa kuwa aidha Dr Ryoba kakimbia kipindi kuepuka lawama au kaambiwa asiendeshe kipindi...
  14. D

    Kipindi cha Hayati Magufuli siasa zilikatazwa kabisa za upinzani na ukiwa mpinzani ulikuwa unashughulikiwa kwelikweli ila watu wamesahau

    Mara baada ya mama kuingia madarakani aliweka mazungira ya siasa vizuri mana kuna watu wangekufa kwa kukosa mkate wa kila siku. Ikumbukwe siasa ni ajira ila ajira hiyo jpm aliiondoa huku akijua hakuna mbadala wa ajira hiyo as a result akaongeza mrundikano wa wahitimu myaani hence unemployment...
  15. Uwesutanzania

    Ifikie kipindi sheria za nchi yetu iwe na madaraja ya kesi za ubakaji

    Ni kutokana na kukithiri kwa biashara za ngono, ulevi, utumiaji wa madawa ya kulevya kwa upande akina dada, Sasa ni wakati sahihi kwa sheria za nchi yetu kubadilika., Hasa pale linapokuja suala la matukio ya kingono na visa vyake. Nchi yetu kwa sasa imeingia katika wimbi kubwa la...
  16. Mwanongwa

    KERO Takataka zimekuwa kero kubwa sana Mbeya Mjini kipindi hiki cha mvua

    Mpaka mjirekebishe ndiyo nitaacha kuwasakama. Halmashauri ya Jiji la Mbeya kama inawezekena badilisheni mfumo wa kukusanya taka au tafuteni kampuni nyingine ya kukusanya taka. Hawa JKT wamefeli kabisa, kwanza magari yao mengi ni mabovu sana tena sana. Ukipita Kwenye mitaa mingi ya Jiji hili...
  17. GENTAMYCINE

    Kwanini hawa Wanamuziki Wakongwe wa Miziki ya Dansi na waliofanya vyema Kipindi chao tukionyeshwa Wanaumwa wanaonekana 'Wamedhoofu' mno?

    Mwezi Mmoja uliopita huko Mitandaoni tulionyeshwa Picha Mjongeo ya Marehemu Mzee King Kikii na hali yake ya Kiafya na wenye Maono tukajua ni suala la muda tu Israeli atafanya yake na imekuwa. Muda si mrefu tena (yaani leo) kuna Picha Mjongeo nyingine inamuonyesha Mwanamuziki mahiri kipindi chake...
  18. Waufukweni

    Pre GE2025 Ni mbinu ya kupata kura?, Utekelezaji wa miradi na miundombinu kipindi cha Uchaguzi: Je, Usalama wa Mazingira na Uendelevu unazingatiwa?

    Muda wa uchaguzi ni kipindi cha kipekee katika mchakato wa kisiasa, ambapo wagombea na vyama vya siasa hutumia kila mbinu kujiweka katika nafasi nzuri ya kushinda kura. Katika mazingira ya Tanzania, utekelezaji wa miradi ya miundombinu na maendeleo wakati wa uchaguzi umejikita kama sehemu muhimu...
  19. Bhaghosha

    Serikali inaukaribisha Mlipuko au Vurugu kipindi hiki cha uchaguzi

    Chama cha upinzani Chadema kwa muda sasa wameshindwa kuunganisha nguvu ya umma dhidi ya serkali. Sasa ni serikali yenyewe imeleta kiwashio cha bomu. Chadema sasa inatakiwa ku detonate na nchi nzima ilipuke. Ni simple sana. Kwa kuwa kuenguliwa kwa wagombea wao ni mkakati, na hata baada ya...
  20. sergio 5

    Clouds media jana mmejiaibisha mno kwenye kipindi cha michezo

    Habari za mda huu Wana michezo? Kuna mtu Jana mwenye akili timamu aliesikiliza hoja za wachambuzi wa ichi kipindi kuhusu team flani kushtumiwa kutumia sindano na dawa za kusisimua misuli? Ivi huu uchawa tuna tutauacha lini yaani mnatetea team kushinda kwaa kujidunga sindano kuwa itaharibu...
Back
Top Bottom