Nasikiliza hapa Crown Sports ya Crown FM, wachambuzi wa kipindi hiko wanajadili ile faulo iliyozaa goli la Simba.
Hans anasema sio goli halali kwakuwa mpira ulianzishwa katika eneo sio sahihi kwakuwa ulisogezwa.
Geoff Lea anasema goli ni halali kwakuwa sio lazma mpira uanzishwe eneo lile...
Serikali imeweka mazingira mazuri kuiwezesha sekta ya misitu kuzalisha ajira kwani katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2024 Serikali imevijengea uwezo wa uzalishaji na kuongeza thamani viwanda 53 vya kuchakata mazao ya nyuki.
Aidha mashamba ya Silayo hekta 69,756 yameanzishwa yaliyopo Mpepo...
Nilikua nachungulia pale Goma takribani wiki nzima. Nilipotembelea huko last year kwa mishe zangu, palikua pamekaa kimachale machale. Yaani unawaonea raia huruma mpk unatamani uuze hadi viatu uwaachie tu! Wacongo ni watu peace sana...wanatia huruma!
Kipindi cha JK hawa watz walikinukisha balaa...
Hellow Tanganyika!!
Miaka Ile palifana sana kuangalia kipindi Cha Mchakato Majimboni,
Jambo hili lilifanya wagombea wa chama tawala kuhudhuria kipindi sababu usingetokea ungepoteza point Kwa wananchi.
Sasa tunataka tena kipindi hiki kurudi, swali ni nani jasiri wa kukirudisha?
Cc:Pascal...
Yule dogo mfupi Ana tege hivi kama Feruzi Telu au Triple C, aisee dogo alitusumbua sana yule alipokuwa akishika mpira, kwanza Ana control, kana nguvu za miguu halafu kanajua kurusha pasi ndefu, yule dogo mtu sanaaaaaa.
Ile mali viongozi wangu msiiache, mido yake ya chini ni ya kushambulia mnoo
Wakuu
Kwenye mahojiano na Salim Kikeke kupitia, Crown FM, Mbowe amefunguka kuwa;
"Mimi kama Mwenyekiti wa chama ni tabia yangu ni historia yangu, sijawahi kuingia kwenye siasa kwa ajili ya kutafuta sifa na mimi nilikuwa mtu wa kujenga na kulea vipaji vingi kwa miaka yote, Tundu Lissu mimi...
Shalom Wana WA Mungu alie hai
Nianze khwatakia MWAKA mpya mwema WA mafanikio
Nimeona tukumbushane hizi siku ZILIZOBAKIA n nyingi kuliko tulikotoka
Nilikuwa naangalia kipindii cha AJALI mwezi huu tu clouds tv nimesema Asante Mungu kwa uhai wako mm n nani Niko hai mpaka sasa
Siohaba kukuomba...
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda, ameweka wazi kuwa kipindi alichopitia kimekuwa kigumu sana maishani mwake, lakini imani yake kwa Mungu imemsaidia kuvuka changamoto hizo.
Akizungumza jana kwenye misa ya kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan na kumkumbuka baba mzazi wa...
Naombeni mnieleweshe Kipindi au zama ambazo alikuwa anaishi bwana yesu kulikuwa hamna picha na huyu bwana yesu ambaye tumemuona au tanamuona makanisani picha yake ilipatikana VP? Na ukiangalia brian deacon amefanana na huyu yesu ambae tunaenda madhabauni kumuabudia ? Naombeni mnieleweshe mwisho...
Haya mambo kwangu kama mwanaume rijali ninayemudu maisha yangu ya kula milo yote mitatu, kwakweli yananipa shida.
Ni vurugu tu za familia, wife kabeba watoto na kuondoka. Hapa nilipo natembea nikijua kabisa ana RB yangu ya kukamatwa.
Sasa zaidi ya week 2 mtu hayupo nyumban karudi kwao na...
Fungulia tu hizo redio zao usikie habari za makongamano na ibada za kubariki,kukomboa, kutakasa n.k mwaka mpya ujao. Ukiwa mpumbavu fulani unajipeleka halafu unaambiwa toa sadaka au panda mbegu kwa ajili ya mwaka mpya uwe wa mafanikio. Pesa zile zinaingia mfukoni kwa mhubiri. Hivi watanzania...
Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Profesa Makame Mbarawa, ameipongeza Bandari ya Tanga kwa kuandika historia kwa kuwezesha kukusanya takribani bilioni 100 ndani ya miezi mitano.
Hayo ni matokeo ya uboreshaji wa miundombinu ya bandari hiyo uliofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe...
Hii ni thread niliiandika mwaka 2015, na ni mojawapo ya thread ilisomwa sana humu JF, na hata kuandikwa gazeti la Mwananchi. Kutokana na umuhimu wake, nimeona niihuishe tena nikijua kuna wengine hawakuwahi kuisoma, na inaweza kuokoa uhai wao, hasa kwa wale wanaonunua magari kwa mara ya kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.