Jiji la Dar Es Salaam limejengeka zaidi katika kipindi cha awamu hii ya 6 chini ya Rais Dr.Samia Suluhu Hassan.

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Naona majengo makubwa na marefu ya makazi ya watu, kumbi za mikutano ya kitaifa na kimataifa, mahotel makubwa ya kimataifa na maofisi ni mengi sana ukilinganisha na wakati uliopita, hali inayoashiria kuimarika kwa uwekezaji na kushamiri kwa maisha na uchumi wa watu wa jiji la Dar Es Salaam, unaongezeka kwa kasi sana.

Lakini pia nimeona miundombinu mathalani ya barabara za katikati ya jiji, mitaani kuelekea nje ya jiji, pia imepangiliwa na kujengwa vizuri sana na kufanya usafirishaji na mzungkuo wa watu, bidhaa na huduma kua rahisi zaidi ukilinganisha na kipindi kilichopita. Usafiri wa mwendokasi ni mkombozi mkubwa wa muda na wakati wa wana dar es salaam kujikita zaidi kwenye kazi za uzalishaji.

Upatikanaji wa huduma za afya, maji, umeme, elimu nao kwa kiasi kikubwa sana umeonekana ni wa uhakika zaidi ndani ya jiji la Dar Es Salaam ukilinganisha na kipindi kilichopita. Maji yapo ya uhakika, umeme wa uhakika, huduma za afya za uhakika na hata elimu imeimarika sana ndani ya jiji la Dar Es Salaam.

Hali ya ulinzi na usalama ni nzuri,
na hakuna dalili yoyote ya kitisho cha uvunjifu wa amani, hali inayoashiria umadhubuti wa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama katika kukabiliana na kihalifu jijini Dar Es Salaam.

Hali ya kisiasa, pia ni maridadi sana ndani ya jijini la Dar Es Salaam, na vyama vya siasa vinatekeleza wajibu na majukumu yao ya kisiasa kwa uhuru mkubwa ukilinganisha na kipindi kilichopita. Hayo ni kwa uchache tu, naenda nitarudi kuelezea kwa kirefu zaidi.

Aidha kwa ufupi tu,
Ni mpongeze sana Rais Dr.Samia Suluhu Hassan, kwa maelekezo yake mujarabu sana kwa serikali ya mkoa wa Dar Es Salaam. Yakatekelezwa vizuri sana tena kwa vitendo.

Mwisho,
Nampongeza sana mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa Dar Es Salaam ndugu Albert Chalamila, Meya wa wajiji la dar es salaam, na mameya wa manispaa zote za jiji la Dar Es Salaam, wakuu wa wilaya, wakuu wa idara na taasisi, vyombo vya ulinzi na usalama, na wote wenye nafasi katika mkoa wa Dar Es Salaam, kwa kazi kubwa na nzuri mnazofanya katika kuwatumikia wana Dar Es Salaam, na kulifanya jiji la Dar Es Salaam kua safi, la kipekee na la kuvutia kisiasa, kijamii na kiuchumi Tanzania, Africa na dunia nzima. Mungu awabariki sana.

Asanti wana Dar Es Salaam.🐒

Mungu mbariki Dr Samia Suluhu Hassan, Mungu Ibariki serikali ya awamu ya 6.

Mungu Ibariki Tanzania
 
nonsense
 
-1482326881.jpg
 
Limejengeka zaidi au limezidi kuwa chafu kuliko awamu zote?
uchafu daima unasafishika kama dhambi tu zinavyotakasika.

that's not an issue,
but mkuu wa mkoa ndugu Albert Chalamila and his management team wanafanya kazi kubwa na nzuri kufanya jiji kua safi na smart.

Ni muhimu sana wana Dar Es Salaam kuunga mkono juhudi na jitihada hizo za makusudi katika kulifanya jiji la Dar Es Salaam kua kivutio cha biashara, utalii na uwekezaji.

Myself,
I appreciate you, great people of Dar Es Salaam region 🤝

Mungu Ibariki Tanzania
 
kwahiyo we ndo ukajiona umeongea la maana sana eti gentromeni?
Gentleman,
mimi nimeeleza nilichokishuhudia kwa macho yangu mwenyewe ndani ya jiji la Dar Es Salaam, ambalo linaongozwa na mkuu wa mkoa makini sana, ndugu Albert Chalamila.

wewe una kipi cha tofauti na ukweli huo mtupu kuhusu maendeleo ya kiuchumi, kisiasa na kijamii katika jiji la Dar Es Salaam?

au una unga mkono hoja ila unashindwa kujieleza?🐒
 
Wazazi wako nap wanasema tunamtoto bogoland nkundu kabisa kizazi hiki
 
Ikiwa uko pointless,
ni vizuri kurelax tu na itapendeza zaidi gentleman, kuliko kujiexpose ulivyo empty head jukwaani 🐒
 
Naona majengo makubwa na marefu ya makazi ya watu, kumbi za mikutano ya kitaifa na kimataifa, mahotel makubwa ya kimataifa na maofisi ni mengi sana ukilinganisha na wakati uliopita, hali inayoashiria kuimarika kwa uwekezaji na kushamiri kwa maisha na uchumi wa watu wa jiji la Dar Es Salaam, unaongezeka kwa kasi sana.

Lakini pia nimeona miundombinu mathalani ya barabara za katikati ya jiji, mitaani kuelekea nje ya jiji, pia imepangiliwa na kujengwa vizuri sana na kufanya usafirishaji na mzungkuo wa watu, bidhaa na huduma kua rahisi zaidi ukilinganisha na kipindi kilichopita. Usafiri wa mwendokasi ni mkombozi mkubwa wa muda na wakati wa wana dar es salaam kujikita zaidi kwenye kazi za uzalishaji.

Upatikanaji wa huduma za afya, maji, umeme, elimu nao kwa kiasi kikubwa sana umeonekana ni wa uhakika zaidi ndani ya jiji la Dar Es Salaam ukilinganisha na kipindi kilichopita. Maji yapo ya uhakika, umeme wa uhakika, huduma za afya za uhakika na hata elimu imeimarika sana ndani ya jiji la Dar Es Salaam.

Hali ya ulinzi na usalama ni nzuri,
na hakuna dalili yoyote ya kitisho cha uvunjifu wa amani, hali inayoashiria umadhubuti wa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama katika kukabiliana na kihalifu jijini Dar Es Salaam.

Hali ya kisiasa, pia ni maridadi sana ndani ya jijini la Dar Es Salaam, na vyama vya siasa vinatekeleza wajibu na majukumu yao ya kisiasa kwa uhuru mkubwa ukilinganisha na kipindi kilichopita. Hayo ni kwa uchache tu, naenda nitarudi kuelezea kwa kirefu zaidi.

Aidha kwa ufupi tu,
Ni mpongeze sana Rais Dr.Samia Suluhu Hassan, kwa maelekezo yake mujarabu sana kwa serikali ya mkoa wa Dar Es Salaam. Yakatekelezwa vizuri sana tena kwa vitendo.

Mwisho,
Nampongeza sana mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa Dar Es Salaam ndugu Albert Chalamila, Meya wa wajiji la dar es salaam, na mameya wa manispaa zote za jiji la Dar Es Salaam, wakuu wa wilaya, wakuu wa idara na taasisi, vyombo vya ulinzi na usalama, na wote wenye nafasi katika mkoa wa Dar Es Salaam, kwa kazi kubwa na nzuri mnazofanya katika kuwatumikia wana Dar Es Salaam, na kulifanya jiji la Dar Es Salaam kua safi, la kipekee na la kuvutia kisiasa, kijamii na kiuchumi Tanzania, Africa na dunia nzima. Mungu awabariki sana.

Asanti wana Dar Es Salaam.🐒

Mungu mbariki Dr Samia Suluhu Hassan, Mungu Ibariki serikali ya awamu ya 6.

Mungu Ibariki Tanzania
Blah blah blah
 
Blah blah blah
calm down plz gentleman,
with your pointless comment.

Dar es salaam inasonga mbele vizuri sana chini ya ndugu Albert Chalamila, mkuu wa mkoa huo 🐒
 
Back
Top Bottom