Godbless Lema: Mtoto wangu hawezi kuendesha bodaboda, ni laana

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
Ni muda sasa CCM iingilie kati kwa kuwapa semina hawa wanufaika wa michango ya tonetone huko CHADEMA ili waweze kujenga hoja wanapokuwa jukwaani. Ukisikiliza maneno ya Lema utagundua yeye ndo laana hapa nchini. Kaongea maneno ya kijinga sana kwa hadhi yake.

Hii CHADEMA ya sasa inapaswa kupelekwa darasani kwenye chuo cha CCM Kibaha ili kujifunza namna sahihi ya kufanya siasa na sio huu ujinga wanaoufanya kwa sasa.

​
 
View: https://www.instagram.com/reel/DeuEdn9IR1q/?vrfl=N2lhaHoyNHRkb3Q0

Mtoto gani wa kiongozi wako CCM anaendesha bodaboda ....
 
Screenshot_20261023_080729_Chrome.png
 
Ni muda sasa CCM iingilie kati kwa kuwapa semina hawa wanufaika wa michango ya tonetone huko CHADEMA ili waweze kujenga hoja wanapokuwa jukwaani. Ukisikiliza maneno ya Lema utagundua yeye ndo laana hapa nchini. Kaongea maneno ya kijinga sana kwa hadhi yake.

Hii CHADEMA ya sasa inapaswa kupelekwa darasani kwenye chuo cha CCM Kibaha ili kujifunza namna sahihi ya kufanya siasa na sio huu ujinga wanaoufanya kwa sasa.

View: https://www.instagram.com/reel/DeuEdn9IR1q/?vrfl=N2lhaHoyNHRkb3Q0

Laana kubwa mno
 
Hayo ni mawazo yake, ni haki yake pia. Nawe weka mawazo yako ili muende sawa.
 
Unadhani kuna mzazi anakifurahi mtoto wake kufànya kazi ya kiwango duni? Unadhani bodaboda ni chaguo la kwanza la vijana wa kitanzania?

Ni basi tu ila sio kazi ya kumpa mwanao, hatuna options, bahati mbaya tukiambiwa ukweli tunakuwa wakali.
 
Huo ni msimomo wake kwahiyo hata wewe unavyowasujudia Ccm na huyo bibi yako huo pia ni msimamo wako na mimi pia, kuna kazi kama ya bodaboda siwezi kuifanya huo ni msimamo wangu
Hakika ni msimamo tena thabiti...hata wa kwangu hawawezi kuendesha tukutuku! Hebu atuambie ni mtoto wa kigogo gani huko ccm au mwana ccm mwenye kujitambua kidogo ambaye mwanaye ni boda!
 
Ni muda sasa CCM iingilie kati kwa kuwapa semina hawa wanufaika wa michango ya tonetone huko CHADEMA ili waweze kujenga hoja wanapokuwa jukwaani. Ukisikiliza maneno ya Lema utagundua yeye ndo laana hapa nchini. Kaongea maneno ya kijinga sana kwa hadhi yake.

Hii CHADEMA ya sasa inapaswa kupelekwa darasani kwenye chuo cha CCM Kibaha ili kujifunza namna sahihi ya kufanya siasa na sio huu ujinga wanaoufanya kwa sasa.

View: https://www.instagram.com/reel/DeuEdn9IR1q/?vrfl=N2lhaHoyNHRkb3Q0

Wewe kwa ajili yako unaona bodaboda na bajaji ni kazi za kufanya?kuna mtoto wa waziri, mkurugenzi, meneja wa kampuni fulani yuko kwenye hiyo biashara?Lema yuko sahihi labda hujamwelewa vizuri.kila aina ya uharifu unaoujua boda wapi sasa hiyo ni biashara.
 
Wanakula hela za wajinga wanavumbiwa “eti sisi hatusomeshi shule za kata “ Mnatumia tonetone kama ada?
 
Back
Top Bottom