Ndugu yangu kwa hii TZ sahau Hilo..usafiri wa umma unapaswa kuwa wa kujitosheleza ili wananchi waachane na bodaboda.
..pia serikali inapaswa kuweka mazingira ili ajira za kutosha za kudumu, na zilizo na mafao, zizalishwe, ili vijana wasilazimike kubangaiza kwa kuendesha bodaboda.
😂Sio bodaboda tu, Na Mimi pia mtoto wangu hawezi kufanya kazi ya Polisi, akijiunga kwenye kazi hiyo ajijue amejitenga na familia yangu.
Ukweli mchungu huu na inabidi tukubali,lakini kwa sababu sisi wamatumbi maisha bila unafiki hayaendi,tunaona Lema kakosea kusema hivyo.Unadhani kuna mzazi anakifurahi mtoto wake kufànya kazi ya kiwango duni? Unadhani bodaboda ni chaguo la kwanza la vijana wa kitanzania?
Ni basi tu ila sio kazi ya kumpa mwanao, hatuna options, bahati mbaya tukiambiwa ukweli tunakuwa wakali.
Wewe takataka ni laanaNi muda sasa CCM iingilie kati kwa kuwapa semina hawa wanufaika wa michango ya tonetone huko CHADEMA ili waweze kujenga hoja wanapokuwa jukwaani. Ukisikiliza maneno ya Lema utagundua yeye ndo laana hapa nchini. Kaongea maneno ya kijinga sana kwa hadhi yake.
Hii CHADEMA ya sasa inapaswa kupelekwa darasani kwenye chuo cha CCM Kibaha ili kujifunza namna sahihi ya kufanya siasa na sio huu ujinga wanaoufanya kwa sasa.
Tatizo na nyie waandika proposal mkishapewa hizo pesa ghafla tunawaona Hyatt mkipost picha na kuandika "small girl, big God".... hiyo miradi yenu inaishia kwenye makaratasi. Huu ubinafsi umekithiri.Kibaya ni kwamba hao watunga Sera hawana uelewa na startup,.na wala hawahangaiki na future ya kijana, Leo kuna mbunge anadhamini Vijana bajaji na pikipiki lakini nilimpelekea proposal kuwa anifanikishie ule mkopo WA 10% WA 500m then ntatoa Ajira rasmi ya kudumu Vijana 20
Alikataa aliona Bora hizo 500m awanunulie bajaji Vijana 40 ambao after 2-3yrs bajaji ishachoka
Kugawia kaya maskini Ng'ombe ni kupoteza zaidi. Hizo ng'ombe wapewe watu ambao tayari wameanza kupambana kufuga ili wakue zaidi. Kaya maskini wataishia kuwala hao ng'ombe au kuwauza...kuna mbunge mmoja wa Ccm alichinja ng'ombe 500 wananchi wakala nyama. Yaani hata hakujisumbua kufikiria kugawia kaya masikini ng'ombe wa maziwa wafuge.
Out of 10 startup ambazo zinafanya Kazi vzr huwezi kosa kampuni yangu nadhani watu ambao wapo kwenye startup ecosystem wanaweza kubaliana na Mimi, shida ni hao walioharibu WA mwanzo Ndo wametuharibia na sisi lakini mbona bado NGO zinatuamini??Tatizo na nyie waandika proposal mkishapewa hizo pesa ghafla tunawaona Hyatt mkipost picha na kuandika "small girl, big God".... hiyo miradi yenu inaishia kwenye makaratasi. Huu ubinafsi umekithiri.