Kijukuu cha ngoyayi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 3,358
- 6,667
Huwa kuna official document mambo huwa hayafanyikii mdomoniMsimamo wa chama hua anatoa nani, au huyo CHAMA NI CLATOUS?
Huwa kuna official document mambo huwa hayafanyikii mdomoniMsimamo wa chama hua anatoa nani, au huyo CHAMA NI CLATOUS?
Uwe unashirikisha ubongo kwanza!Ni muda sasa CCM iingilie kati kwa kuwapa semina hawa wanufaika wa michango ya tonetone huko CHADEMA ili waweze kujenga hoja wanapokuwa jukwaani. Ukisikiliza maneno ya Lema utagundua yeye ndo laana hapa nchini. Kaongea maneno ya kijinga sana kwa hadhi yake
Ni muda sasa CCM iingilie kati kwa kuwapa semina hawa wanufaika wa michango ya tonetone huko CHADEMA ili waweze kujenga hoja wanapokuwa jukwaani. Ukisikiliza maneno ya Lema utagundua yeye ndo laana hapa nchini. Kaongea maneno ya kijinga sana kwa hadhi yake.
Hii CHADEMA ya sasa inapaswa kupelekwa darasani kwenye chuo cha CCM Kibaha ili kujifunza namna sahihi ya kufanya siasa na sio huu ujinga wanaoufanya kwa sasa.
View: https://www.instagram.com/reel/DeuEdn9IR1q/?vrfl=N2lhaHoyNHRkb3Q0
Ange QUOTE kinachoendelea pale Mbeya wiki hii nzima wanasema bajaji zimekuwa kero vijana warudi shamba wao wakiwa kwenye viyoyozi ni rahisi sana lakini tatizo lilianza kidogo kidogo hadi likawa kero.Wewe kwa ajili yako unaona bodaboda na bajaji ni kazi za kufanya?kuna mtoto wa waziri, mkurugenzi, meneja wa kampuni fulani yuko kwenye hiyo biashara?Lema yuko sahihi labda hujamwelewa vizuri.kila aina ya uharifu unaoujua boda wapi sasa hiyo ni biashara.
Ni muda sasa CCM iingilie kati kwa kuwapa semina hawa wanufaika wa michango ya tonetone huko CHADEMA ili waweze kujenga hoja wanapokuwa jukwaani. Ukisikiliza maneno ya Lema utagundua yeye ndo laana hapa nchini. Kaongea maneno ya kijinga sana kwa hadhi yake.
Hii CHADEMA ya sasa inapaswa kupelekwa darasani kwenye chuo cha CCM Kibaha ili kujifunza namna sahihi ya kufanya siasa na sio huu ujinga wanaoufanya kwa sasa.
View: https://www.instagram.com/reel/DeuEdn9IR1q/?vrfl=N2lhaHoyNHRkb3Q0
Ni muda sasa CCM iingilie kati kwa kuwapa semina hawa wanufaika wa michango ya tonetone huko CHADEMA ili waweze kujenga hoja wanapokuwa jukwaani. Ukisikiliza maneno ya Lema utagundua yeye ndo laana hapa nchini. Kaongea maneno ya kijinga sana kwa hadhi yake.
Hii CHADEMA ya sasa inapaswa kupelekwa darasani kwenye chuo cha CCM Kibaha ili kujifunza namna sahihi ya kufanya siasa na sio huu ujinga wanaoufanya kwa sasa.
View: https://www.instagram.com/reel/DeuEdn9IR1q/?vrfl=N2lhaHoyNHRkb3Q0
Mlaumu babako kwa kushindwa kuwa waziriTutajie mtoto wa waziri anaeendesha boda boda au anayesoma shule ya kata
Kwanza mlaumu babako kutokuwa waziri. Acha wivu wa kishamba. Sijajua hizi imani za kishirikina kwamba kabla ya uhuru tulikuwa sawa kiuchumi na China zilipoanzia!! Hata sasa hivi tunaambiwa Tanzania ni tajiri kuliko North Korea kwa kuwa GDP yetu ni kubwa. Acheni imani za kijinga.. hatujawahi kuwa sawa na China.Yes ni kazi ya laana, nionyeshe mtoto wa waziri anayejipatia kipato kwa kuendesha bodaboda!
Mi ccm ndio imetufikisha hapa, inaiba tu,
Rasilimali zote hizi, kijana, wa, ki Tanzania hata kiwi kuishi kama nguchilo,
Wakati wa, Uhuru, china, Vietnam, malysia, tulikuwa sawa, kiuchumi, Leo hii, wanatuzidi Mara 300+!
Hii sio mapenzi, ya, Mungu, au bahati mbaya,ni chama tawala kushindwa, kwasababu hayana, majibu ya matatizo yetu, ukiyaambia ukweli, yanachukia,
Jitu linasimama na, kusema, katiba mpya haina maana, maana, watu hawali katiba mpya! Yaani ni sawa unaenda kupanga, hutaki kusaini mkatqba wa mwenyenyumba,ili uridhie mashariti, kisa,si unamlipa pesa,
Katiba ndio imeweka, bunge la watu 350+, katiba ndio inampa mamlaka Rais kugawa mikoa, kuongeza, wilaya, kuteua majaji, nk,
Anaweza, akaamua, pesa, zikajenge nini na wapi!
Jimbo akishinda mpinzani, Rais anaweza, akazuia pesa, za, maendeleo, katiba ndio ilimpa uwezo kenge Maghu kujenga airport chato hambapo hakuna biashsrs
Naona watu wengi mnakimbilia kudai niwaonyeshe mtoto wa kiongozi anayeendesha bodaboda. Ni ukosefu wa hoja au ukosefu wa akili kabisa?Mtoto gani wa kiongozi wako CCM anaendesha bodaboda ....
Ni msimamo wa CHADEMA huoMsimamo wa mtu huwa sio wa chama
Sema kiongozi gani wa CCM au yeyote yule mwenye kuanzia Mkuu wa idara katika Serikali mtoto wake ni bodaboda ...weewe ndio mpuuzi mnaotumia lugha ya "wananchi wanyonge maskini" jinga kabisa.... Nchi gani iliyoendelea Ina sekta Kubwa ya bodaboda kama matanzania!?! Bodaboda sio kazi Ile... Haya kafuate buku7 lumbumbaNaona watu wengi mnakimbilia kudai niwaonyeshe mtoto wa kiongozi anayeendesha bodaboda. Ni ukosefu wa hoja au ukosefu wa akili kabisa?
Hiyo ni ajira kwa makapuku ..... Hohehahe, bwegemtozeni.....Sometimes huwa nakaa najiuliza sana ivi hizi bodaboda zisinge kuwepo hawa vijana wangekua wap wangefanya nn maana ni wengi
Kila baada ya mita200 kuna kijiwe cha bodaboda na kila kijiwe kina waendesha boda 7 adi 10
Sometimes huwa nampongeza sana mzee wa msoga maana alijua kujiongeza kwa kuona hii fulsa ya ajira
Naungana na lema kwa kauli yake
Ni muda sasa CCM iingilie kati kwa kuwapa semina hawa wanufaika wa michango ya tonetone huko CHADEMA ili waweze kujenga hoja wanapokuwa jukwaani. Ukisikiliza maneno ya Lema utagundua yeye ndo laana hapa nchini. Kaongea maneno ya kijinga sana kwa hadhi yake.
Hii CHADEMA ya sasa inapaswa kupelekwa darasani kwenye chuo cha CCM Kibaha ili kujifunza namna sahihi ya kufanya siasa na sio huu ujinga wanaoufanya kwa sasa.
View: https://www.instagram.com/reel/DeuEdn9IR1q/?vrfl=N2lhaHoyNHRkb3Q0
Ule ni mkutano wa chama kama anachosema sio msimamo wao wanawajibu kukanusha, Lema anajua anachofanya. Support ya Chadema ni hao vijana wa bodaboda na wananchi wa kipato cha chini ambao hawana uwezo wa kusomesha hizo shule anazosema anachofanya ni kuwaambia kwamba hata sisi hatupo pamoja na nyinyi sisi sio wenzenu ni strategic kabisa kupunguza ushawishi wa makundi fulaniHuwa kuna official document mambo huwa hayafanyikii mdomoni