Mtoto anaeritadi hatakiwi kubaki nyumbani

Mtoto anaeritadi hatakiwi kubaki nyumbani

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,722
Reaction score
15,117
Mtoto anaeritadi yaani kutoka uislam kuingia dini nyengine hatakiwi kubaki nyumbani.
Anatakiwa atafute pakukaa.
Huu ndio msimamo wa Uislamu, sio matakwa yangu. Kama umeamua kuwa mwanachama unatakiwa uufuate.

Surat Al-Baqarah 2:217
وَمَن يَرْتَدِدْ مِنكُمْ عَن دِينِهِ فَيَمُتْ وَهُوَ كَافِرٌ فَأُولَٰئِكَ حَبِطَتْ أَعْمَالُهُمْ فِي الدُّنْيَا وَالْآخِرَةِ
Maana yake: “Na atakayeritadi miongoni mwenu kutoka katika dini yake, kisha akafa hali ya kuwa kafiri, basi hao amali zao zimeharibika duniani na Akhera.”
Aya hii inaeleza uzito wa kuritadi na matokeo yake mbele ya Allah.
 
Wala sio kosa lako,ndio maana mnapofanya upuuzi sisi huwa hatudeal na nyinyi tunafocus kwenye dini yenu ndio imewaharibu,halafu mnasema tuna chuki na uislam😄😄😄.


Wewe mwenyewe hapa unaona kabisa hilo ni boko ndio maana umeiinamishia lawama kwenye uislam usiguswe wewe,

Mwanao wa kumzaa uislam umeruhusu afilwe,ajiuze,auze bunduki au pombe na madawa aendelee kuwa karibu na wewe,lakini akiwa hatendi yote hayo isipokuwa tu kakataa kuwa muislam umfukuze🤭🤭 fck.
 
Usimchagulie mtu dini, au kumpangia, mimi binti yangu aliamua kuwa mwislamu dini ya asili ya bibi yake nikamuunga mkono kwenye uchaguzi wake , akiona haimfai tena anaweza kuamua kutoka tu
 
Uliwahi kufa ukarudi!!?kwanini utekwe kiasi hicho na jambo ambalo wewe hulijui vizuri zaidi ya kuamini TU!!?Ina maana unaamini wote tilitumwa tuwe waislam au wakristo duniani!!?

Soma vizuri maandiko yako
Unauliza swala la kijinga, wewe unaweza kurudi ktk tumbo la mama yako kwa njia ile ile uliotokea hivi sasa? Kwanini? Kama majani yanakufa na kuwahai tena wakati wa mvua, basi na wewe utarudi
 
Back
Top Bottom