Mtoto anaeritadi hatakiwi kubaki nyumbani

Uislam ni upumbavu wa viwango vya Hali ya juu sana.
Wenzio wachungaji walikuwa na maneno machafu kuliko weye, walipoujua uislam hivi sasa wanashangaa akili zao za awali walivyolishwa propaganda
 
Hoja yako sio ya msingi. Uislam sio kama dinj yako, muislam anaamini maisha ni akhera hapa duniani ni mapito tu, kwa hivyo kizuizi chochote kilichopo mbele kitachomuangamiza anatakiwa akiiondoe
Mimi nimechagua part yangu tu yakuuliza kama ambavyo wewe umechagua cha kueleza... Fresh lakini hata sasa umenijibu tayari.. Aminia
 
Surat Al-Baqarah 2:217
وَمَن يَرْتَدِدْ مِنكُمْ عَن دِينِهِ فَيَمُتْ وَهُوَ كَافِرٌ فَأُولَٰئِكَ حَبِطَتْ أَعْمَالُهُمْ فِي الدُّنْيَا وَالْآخِرَةِ
Maana yake: “Na atakayeritadi miongoni mwenu kutoka katika dini yake, kisha akafa hali ya kuwa kafiri, basi hao amali zao zimeharibika duniani na Akhera.”
Aya hii inaeleza uzito wa kuritadi na matokeo yake mbele ya Allah.
Haya wewe swala la mtoto akiritadi afukuzwe nyumbani umelitoa wapi?
 
Hujajibu hoja swala la imani ni swala pana saaana
Alieritadi harithi mali za baba au mama, yaani ktk familia ashatoka, haowi muislam
.anabaki kwako.kufanya nini?
 
Kwani kuwa mchungaji ndo nini hadi unifananishe nao?
Huwezi kuwa na akili timamu kisha ukachagua kuwa muislam.

Kauli hii inaonyesha dharau dhidi ya mamilioni ya watu, lakini haina hoja ya kuthibitisha madai yako. Kama kuingia Uislamu ni ushahidi wa kukosa akili, basi unawawekaje watu wenye elimu ya juu, maprofesa, wasomi wa falsafa na viongozi wa dini ya Kikristo ambao waliamua kuingia Uislamu baada ya kujifunza na kutafakari?

Hawa ni baadhi ya mifano:

1. Dkt. Jerald F. Dirks — Mwanazuoni wa Marekani mwenye shahada ya uzamivu (PhD) katika saikolojia kutoka University of Denver na shahada ya uzamili ya masomo ya theolojia kutoka Harvard Divinity School. Alikuwa shemasi wa Kanisa la Methodist kabla ya kusilimu.

2. Sheikh Yusuf Estes — Aliyekuwa mhudumu wa muziki wa kanisani na mhubiri wa Kikristo nchini Marekani. Baadaye alisilimu na akahudumu kama chaplain wa Waislamu katika mfumo wa magereza ya serikali ya Marekani.

3. Sheikh Hamza Yusuf — Alizaliwa Mark Hanson nchini Marekani. Alisilimu mwaka 1977 akiwa na umri wa miaka 17, kisha akajifunza kwa miaka mingi lugha ya Kiarabu, falsafa na elimu ya Kiislamu, na kuwa mwanazuoni
4. Hamza Andreas Tzortzis — Mwandishi na mwanafalsafa wa Uingereza aliyeingia Uislamu mwaka 2002. Ana shahada ya uzamili na mafunzo ya uzamili katika falsafa kutoka University of London.

5. Yusuf Estes na Father Peter Jacobs — Katika simulizi lake, Estes anaeleza kuwa Jacobs alikuwa kasisi wa Kanisa Katoliki aliyeingia Uislamu baada ya kujifunza kuhusu Uislamu na kutembelea msikiti.

Sasa tujiulize: Je, hawa wote walikosa akili kwa sababu tu walifanya uamuzi ambao wewe hukubaliani nao? Au unadhani elimu, uchunguzi na uwezo wa kufikiri vinapaswa kutambuliwa kwa wale tu wanaokubaliana na mtazamo wako?
WEYE UNAAKILI KULIKO HAWA?
UNALALA KITANDA CHA KAMBA, KUTUMIA KIBATARI, SHULE F4 HESABU , PHYSICS UMEPATA F.
 
Hoja yako sio ya msingi. Uislam sio kama dinj yako, muislam anaamini maisha ni akhera hapa duniani ni mapito tu, kwa hivyo kizuizi chochote kilichopo mbele kitachomuangamiza anatakiwa akiiondoe

😂😂 hii haina tofauti na cult nyingine zozote tu..

Mudi aliahidi watu mambo ya peponi ili apate wanajeshi wa kumpigania, ndo maana ahadi nyingi ni zile ambazo tunatamani tukiwa hapa duniani yeye akapromisi watapata ahera. Alijua watu tunapenda kupiga mkuyenge yeye akasema watapata 72 virgins na nguvu za kuhudumia😀😀 huko, mito ya pombe etc
 
Kauli hii inaonyesha dharau dhidi ya mamilioni ya watu, lakini haina hoja ya kuthibitisha madai yako. Kama kuingia Uislamu ni ushahidi wa kukosa akili, basi unawawekaje watu wenye elimu ya juu, maprofesa, wasomi wa falsafa na viongozi wa dini ya Kikristo ambao waliamua kuingia Uislamu baada ya kujifunza na kutafakari?

Hawa ni baadhi ya mifano:

1. Dkt. Jerald F. Dirks — Mwanazuoni wa Marekani mwenye shahada ya uzamivu (PhD) katika saikolojia kutoka University of Denver na shahada ya uzamili ya masomo ya theolojia kutoka Harvard Divinity School. Alikuwa shemasi wa Kanisa la Methodist kabla ya kusilimu.

2. Sheikh Yusuf Estes — Aliyekuwa mhudumu wa muziki wa kanisani na mhubiri wa Kikristo nchini Marekani. Baadaye alisilimu na akahudumu kama chaplain wa Waislamu katika mfumo wa magereza ya serikali ya Marekani.

3. Sheikh Hamza Yusuf — Alizaliwa Mark Hanson nchini Marekani. Alisilimu mwaka 1977 akiwa na umri wa miaka 17, kisha akajifunza kwa miaka mingi lugha ya Kiarabu, falsafa na elimu ya Kiislamu, na kuwa mwanazuoni
4. Hamza Andreas Tzortzis — Mwandishi na mwanafalsafa wa Uingereza aliyeingia Uislamu mwaka 2002. Ana shahada ya uzamili na mafunzo ya uzamili katika falsafa kutoka University of London.

5. Yusuf Estes na Father Peter Jacobs — Katika simulizi lake, Estes anaeleza kuwa Jacobs alikuwa kasisi wa Kanisa Katoliki aliyeingia Uislamu baada ya kujifunza kuhusu Uislamu na kutembelea msikiti.

Sasa tujiulize: Je, hawa wote walikosa akili kwa sababu tu walifanya uamuzi ambao wewe hukubaliani nao? Au unadhani elimu, uchunguzi na uwezo wa kufikiri vinapaswa kutambuliwa kwa wale tu wanaokubaliana na mtazamo wako?
WEYE UNAAKILI KULIKO HAWA?
UNALALA KITANDA CHA KAMBA, KUTUMIA KIBATARI, SHULE F4 HESABU , PHYSICS UMEPATA F.
Mkuu kuwa na mavyeti ya kusomea jambo Fulani hakumaanishi una akili, hujawahi kuona profesa ni mpumbavu tu? Ukiona mtu anaamua kuwa muislam tambua wazi kwamba huyo mtu ni mjinga sana, ukiusoma vizuri uislam haiwezekani kabisa kuwa muislam. Uislam una mafundisho mengi ambayo ni wazi kabisa yalitungwa na watu wenye upeo mdogo wa kufikiri.
Narudia tena, haiwezekani mtu kuwa na akili timamu akaamua kuchagua dini dhaifu kama uislam.
Kama unataka tuongee vizuri na ujigundue hata wewe ni empty kichwani hebu weka hapa sababu moja kubwa inayokufanya uwe muislam tuichambue hapa ndo utajijua kwamba we ni miongoni mwa wapumbavu.
 
Dini ni personal issue ila kwenye uislamu ni kama public issue.
 
Mtoto anaeritadi yaani kutoka uislam kuingia dini nyengine hatakiwi kubaki nyumbani.
Anatakiwa atafute pakukaa.
Huu ndio msimamo wa Uislamu, sio matakwa yangu. Kama umeamua kuwa mwanachama unatakiwa uufuate.

Surat Al-Baqarah 2:217
وَمَن يَرْتَدِدْ مِنكُمْ عَن دِينِهِ فَيَمُتْ وَهُوَ كَافِرٌ فَأُولَٰئِكَ حَبِطَتْ أَعْمَالُهُمْ فِي الدُّنْيَا وَالْآخِرَةِ
Maana yake: “Na atakayeritadi miongoni mwenu kutoka katika dini yake, kisha akafa hali ya kuwa kafiri, basi hao amali zao zimeharibika duniani na Akhera.”
Aya hii inaeleza uzito wa kuritadi na matokeo yake mbele ya Allah.
Pia ni kitabu hicho hicho kilishindwa kukemea utumwa wa mtu mweusi, pia kilishindwa kukemea ukataji mapumhu wa watumwa weusi na badala yake ikaweka utaratibu mzuri zaidi wa kumiliki watumwa na kuwabaka watumwa wanawake na kuwaingilia watakavyo
 
Back
Top Bottom