Kinyungu
Platinum Member
- Apr 6, 2008
- 22,912
- 46,240
Nani aliwahi kufa hali ameritadi na mkapata habari zake kwa uhakika kuwa amepata hasara huko akhera?Ukifa ndio utajua athari ya maamuzi yako
Nani aliwahi kufa hali ameritadi na mkapata habari zake kwa uhakika kuwa amepata hasara huko akhera?Ukifa ndio utajua athari ya maamuzi yako
Muhammad said: 'Whoever changes his religion, kill him.'"Sunan an-Nasa'i 4063Yaani sawa na hukumu za ugaidi na uhaini ktk nchi zetu.
Anatakiwa kuuawa kwa kukatwa shingoHaya wewe swala la mtoto akiritadi afukuzwe nyumbani umelitoa wapi?
Anarithi Nini wakati ameshakufa , Sheria ya uislamu anatakiwa achinjweAlieritadi harithi mali za baba au mama, yaani ktk familia ashatoka, haowi muislam
.anabaki kwako.kufanya nini?
Pepo la udini limekujaa hadi kwenye kinyesi chako.Mtoto anaeritadi yaani kutoka uislam kuingia dini nyengine hatakiwi kubaki nyumbani.
Anatakiwa atafute pakukaa.
Huu ndio msimamo wa Uislamu, sio matakwa yangu. Kama umeamua kuwa mwanachama unatakiwa uufuate.
Surat Al-Baqarah 2:217
وَمَن يَرْتَدِدْ مِنكُمْ عَن دِينِهِ فَيَمُتْ وَهُوَ كَافِرٌ فَأُولَٰئِكَ حَبِطَتْ أَعْمَالُهُمْ فِي الدُّنْيَا وَالْآخِرَةِ
Maana yake: “Na atakayeritadi miongoni mwenu kutoka katika dini yake, kisha akafa hali ya kuwa kafiri, basi hao amali zao zimeharibika duniani na Akhera.”
Aya hii inaeleza uzito wa kuritadi na matokeo yake mbele ya Allah.
Majani yakifa yanaozaUnauliza swala la kijinga, wewe unaweza kurudi ktk tumbo la mama yako kwa njia ile ile uliotokea hivi sasa? Kwanini? Kama majani yanakufa na kuwahai tena wakati wa mvua, basi na wewe utarudi
Nani aliwahi kufa akaleta huo mrejesho? Acha kudanganya watu kwa kutumia ngano za wachawi wa kiarabu.Ukifa ndio utajua athari ya maamuzi yako
Wewe utaishi milele?Ukifa ndio utajua athari ya maamuzi yako
Hakuna kauli kama hiyo katika sura hiyoAnatakiwa kuuawa kwa kukatwa shingo
Muhammad said: 'Whoever changes his religion, kill him.'"Sunan an-Nasa'i 4063
Mudy alisema wazi anaeacha uislamu achinjweHakuna kauli kama hiyo katika sura hiyo
Sa mtu ameshakufa atajuaje.Ukifa ndio utajua athari ya maamuzi yako
Waislam swafiii kama Kina anko Twalibu,juma lokole,Omar nyembo a.k.a dimpozHoja yako sio ya msingi. Uislam sio kama dinj yako, muislam anaamini maisha ni akhera hapa duniani ni mapito tu, kwa hivyo kizuizi chochote kilichopo mbele kitachomuangamiza anatakiwa akiiondoe
Ngoja nisilimu niende maka nikamuinamishe pisi moja kwenye Kaaba niichape kavuWenzio wachungaji walikuwa na maneno machafu kuliko weye, walipoujua uislam hivi sasa wanashangaa akili zao za awali walivyolishwa propaganda
Dini imekuwa jela,badala ya kurahishisha maisha yenyewe ndio kwanza inaleta utengano kwenye jamii.Mtoto anaeritadi yaani kutoka uislam kuingia dini nyengine hatakiwi kubaki nyumbani.
Anatakiwa atafute pakukaa.
Huu ndio msimamo wa Uislamu, sio matakwa yangu. Kama umeamua kuwa mwanachama unatakiwa uufuate.
Surat Al-Baqarah 2:217
وَمَن يَرْتَدِدْ مِنكُمْ عَن دِينِهِ فَيَمُتْ وَهُوَ كَافِرٌ فَأُولَٰئِكَ حَبِطَتْ أَعْمَالُهُمْ فِي الدُّنْيَا وَالْآخِرَةِ
Maana yake: “Na atakayeritadi miongoni mwenu kutoka katika dini yake, kisha akafa hali ya kuwa kafiri, basi hao amali zao zimeharibika duniani na Akhera.”
Aya hii inaeleza uzito wa kuritadi na matokeo yake mbele ya Allah.
Atakuwa amekufa. Hawezi kujua. Cha msingi aache maelekezo ya mwisho wake. Kuwa hana dini Kama mimi GoviKubwa.Ukifa ndio utajua athari ya maamuzi yako
na ndio maana wengine walioritadi wanauwawa kwa mateso makali na kukatwa kichwa ili iwe fundisho kwa wengine juu ya kitakachowakuta wakiacha uislamAje kuambukiza wengine?
kwahiyo we ulishakufa ukarudi 🤣 🤣Ukifa ndio utajua athari ya maamuzi yako