Yah ila ni jina zuri sanaKumbe ndio hivyo
Kumbe na hapa jamiiforums yupoSister Abigail unasemaje?
Yeah ni zuriHili jina hapa Tanzania naona kama ni adimu, zaidi ya msanii wakike tunaemjua, je? Ni jina zuri kumpa mtoto wa kike.? Au kama una jina zuri pendekeza na maana yake, DINI ukristo
Mtu Safi wa DiniSister Abigail unasemaje?
Mi Sina mengi ampe tu😄Sister Abigail unasemaje?