Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 12,096
- 22,468
Unashindwa kumuita majina ya ukoo wenu unamuita majina ya koo zingine za wazungu.
Ukute mie mcharuko huku uswahilini.Mtu Safi wa Dini
Hongera ba kijacho 😄Asante sana muhusika
Nakubaliana pia huchangiwa na mazingira ila inapokuja kwenye suala la tabia na nidham wako juu sanaHiyo kua mzito darasani labda itategemea na mtu na mtu.
Unataka jina tukupendekezee sisi wana JF?Hili jina hapa Tanzania naona kama ni adimu, zaidi ya msanii wakike tunaemjua, je? Ni jina zuri kumpa mtoto wa kike.? Au kama una jina zuri pendekeza na maana yake, DINI ukristo
ChaiJina zuri sana hilo nina ushahidi nalo
Mie kujidescribe siwezi.ila ukweli majina ya Abigail ni watulivu,kichwani Hadi MaishaniNatamani nijue wewe upo vipi lakini ndio haiwezekani
Kizazi cha AI hiki kila kitu lazima ki Google au kiende kwa chatGPTKwanu huko kwenu hakuna majina ya kiasili, acheni kutumikia majina ya mataifa mengine
Huko uyahudini kwa kina abigaili umejuaje hakuna Uganga?Ukoo wangu una uganga sitaki arithishwe
Chai.Hongera Mama Abigael..Ni wapole sana na wasikivu pia Darasani kwa nionavyo inategemeana ila wanafundishika .