Neno la mizizi wema linamaanisha tabia au matendo mema, fadhili, au kumfanyia mtu mambo mazuri yanayomfurahisha. Hivyo "si wema" huashiria kinyume chake au kukanusha wemaMimi mtoto wangu wa kike anaitwa Siwema
AmaniWa kwako anaitwa nani?
Swali la kipumbavuWewe unatoa ushauri Gani? nimpe jina la kurithi ?
Kumbe ulianzisha uzi huku ukiwa na mategemeo yako tayari?Sikutegemea haya majibu hapa jamiiforums
Jina zuri linatakiwa liakisi asili yako. Likunbushe mizizi ya kwenu. Sasa Abigail ni jina la kigeni. Lina asili ya kiebrania, wewe ni mhebrania?wanaija huo utumwa walishaukataa. Wanatumia majina yao. Nimekupa idea nadhani.Nasubiri mawazo yenu