I feel good
JF-Expert Member
- Oct 21, 2016
- 1,773
- 3,215
Ni zuri sana. Mpe
Abigail ni wengi sana ni jina zuri na watoto huwa na nidham sana
Ila kidogo darasani huwa wazito.
Achana na majina ya kikoloni wewe .kwani huko kwenu hakuna majina ya kikabila?Hili jina hapa Tanzania naona kama ni adimu, zaidi ya msanii wakike tunaemjua, je? Ni jina zuri kumpa mtoto wa kike.? Au kama una jina zuri pendekeza na maana yake, DINI ukristo
Hapana mama yangu ni wewe, umeomba ushauri unataka tuseme uongo?Mama Yako anaitwa Abigail? Mbona amekuzaa wewe
Maneno bila picha hayana nguvu 😅Ukute mie mcharuko huku uswahilini.
Nyie endeleeni kudnaganywa na maandishi hapa
Amekuja kupima upepo, tunamwambia uhalisia analeta fedheha.Niko tofauti kidogo kimawazo na members wengine. Hawa akina Abigail huwa warahisi sana, ukimtongoza anajaa kwenye mfumo haraka sana.
Amazingua halafu ananiripoti kwa mods kwa hiyo comment yangu. Mwache dogo apime kina cha bahari kwa ulimu.Amekuja kupima upepo, tunamwambia uhalisia analeta fedheha.
Maneno Yanaleta picha yenyewe ukiyasomaManeno bila picha hayana nguvu 😅
Sister Abigail bonge la Dada 🤓Unaweza kuta mwenye thread yake ndo Sister Abigail mwenyewe 😃😃😃
Macho hayajashiba bhana maana yakiona ndio husababisha taarifa zifike kwenye ubongo. Mcharuko wewe hapo ulipo umevaa kijora mpauko, kope za bandia na simu ya mkopo unatamba nayo 🤣🤣🤣Maneno Yanaleta picha yenyewe ukiyasoma
EheeeSister Abigail bonge la Dada 🤓
☺️☺️☺️Yeah ni zuri
Abigail maana yake "furaha ya baba"
Watu wanajua mie mtawa😄Macho hayajashiba bhana maana yakiona ndio husababisha taarifa zifike kwenye ubongo. Mcharuko wewe hapo ulipo umevaa kijora mpauko, kope za bandia na simu ya mkopo unatamba nayo 🤣🤣🤣
🙃🙃🙃☺️☺️☺️
Sawa jipakulie minyama 🥴🥴
Sina huo ujingaUnaweza kuta mwenye thread yake ndo Sister Abigail mwenyewe 😃😃😃