Jina Abigail ni zuri? Nataka kumpa mtoto wa kike

Jina Abigail ni zuri? Nataka kumpa mtoto wa kike

Hili jina hapa Tanzania naona kama ni adimu, zaidi ya msanii wakike tunaemjua, je? Ni jina zuri kumpa mtoto wa kike.? Au kama una jina zuri pendekeza na maana yake, DINI ukristo
Mpe jina la Kibantu mfano Neema, Upendo, Sikujua, Sikitu, Furaha, Havintishi, Chausiku, Shida, Chuki, Tabu, Faraja, Mazoea, nk.
 
Wrestler Bray Wyatt alikuwa na jina hili ingawa sasa ni marehemu
IMG_3913.jpeg
 
Hili jina hapa Tanzania naona kama ni adimu, zaidi ya msanii wakike tunaemjua, je? Ni jina zuri kumpa mtoto wa kike.? Au kama una jina zuri pendekeza na maana yake, DINI ukristo
Yes atakuwa kama Abigail Cham.
 
Wanaosema nitoe ya asili na sio ya kizungu unalizungumziaje?
Wewe mpe mwanao jina unaloona lina muelekeo mwema kwake achana na kufuata kile wanachokitaka wengine baadae mwambie maana ya jina lake na kwanini ulimpa ila usije ukamwambua hili jina ni la Bibi yako sijui Shangazi yako achana kabisa na hizo kasumba za kizamani
 
Back
Top Bottom