Jina Abigail ni zuri? Nataka kumpa mtoto wa kike

Jina Abigail ni zuri? Nataka kumpa mtoto wa kike

Nimekutana na, wenye jina hilo nadhani kama kumi hivi.

1. Wasikivu sana
2. Wanapenda sana mambo ya Mungu.
3. Katika hao kumi tisa ni weusi warefu

Ila ni jina zuri sana..
 
Nimekutana na, wenye jina hilo nadhani kama kumi hivi.

1. Wasikivu sana
2. Wanapenda sana mambo ya Mungu.
3. Katika hao kumi tisa ni weusi warefu

Ila ni jina zuri sana..
🙏
 
Kwenye biblia alimuokoa mme wake kuuliwa na mfalme Daudi baada ya kumtukana. Alitumia hekima kwenda na sadaka kumuombea mme wake msamaha. Mme wake alisamehewa hivyo alihesabika Kati ya wanawake wenye hekima katika biblia
 
Back
Top Bottom