leo dada
JF-Expert Member
- Oct 26, 2023
- 3,871
- 19,204
weka sukari unyweChai
weka sukari unyweChai
Binadamu wapo wema na ambao siwema.Ndugu aisee aise (baba si wema) tuendelee na mjadala.
Kumbe nilikuwa sijui hiloSio anajiita
Bali finishing yake alikua anaiita hivyo
Alongside Alexa bliss
Ndiyo mkuu unaonekana hata kupitia commentsHee mkuu ni Mimi huyo?
Kwanini Binti Yako si mwema? Kwanini badala ya SIWEMA isiwe WEMABinadamu wapo wema na ambao siwema.
Wengi niliokutana nao si wema, hata binti yangu nimempa jina Siwema.
Kwahiyo wewe ukiamua kumpa mwanao jina la Diana, au Abigaili ni wewe mkuu.
Majina mengine kutoka mataifa na tamaduni za watu yana maana nyingi. Ukute unampa jina la Mungu wa ngono mtoto wako.
Mweh asante mkuuNdiyo mkuu unaonekana hata kupitia comments
Mi alikua ananitisha.Kumbe nilikuwa sijui hilo
Ila ameisha kufa jamaa
Alikuwa mkali
🤣 ila alikuwa mbabe na mbwembwe nyingiMi alikua ananitisha.
Mauzauza mara mtu unavutwa chini,bado Lile likinyago
Na pia ilo jina ni zurii sana mm pia nalipenda sana nakumbuka nilikuwa nikimuita mchumba angu 😹.Naomba nisipokee ushauri mwingine, naondoka na hii
Unafeli wapiMweh asante mkuu
Hata huyo mume wa kuchora sina
SijajaaliwaUnafeli wapi
Ndio ni mbabe sema Nlikuwa nakereka niwe mkweli.akianza na Yale mamidoli yake 🙂↔️🤣 ila alikuwa mbabe na mbwembwe nyingi
Jf tumejaa husbands material chagua anayekufaaSijajaaliwa
Haya mkuu😁Jf tumejaa husbands material chagua anayekufaa
😁Na pia ilo jina ni zurii sana mm pia nalipenda sana nakumbuka nilikuwa nikimuita mchumba angu 😹.
Kiukwlei ni majina tulivu , wenye akilii na kujihamini.
Mara nyingii hata darasani wanafanya vzurii , ni Moja ya jina Bora sana nimecomment kwa sababu limekumbusha penzi langu la zamani😂🖐️