😂😂😂 Enheee
🤣🤣🤣🤣Kumbe ulianzisha uzi huku ukiwa na mategemeo yako tayari?
Sasa ulianzisha uzi wa nini?
Jina tu la mwanao mpaka uulize mitandaoni,hivi utaweza kulea kweli wewe?
Muite jina la mabibo zake.Hili jina hapa Tanzania naona kama ni adimu, zaidi ya msanii wakike tunaemjua, je? Ni jina zuri kumpa mtoto wa kike.? Au kama una jina zuri pendekeza na maana yake, DINI ukristo
MabibiMabibo ya korosho?
👆👆👆👆Neno la mizizi wema linamaanisha tabia au matendo mema, fadhili, au kumfanyia mtu mambo mazuri yanayomfurahisha. Hivyo "si wema" huashiria kinyume chake au kukanusha wema
Linajumuisha sehemu mbili au linaweza kumaanisha "si wema" (yaani siyo wema, au hana wema), ingawa huandikwa au kutamkwa kama jina kamili Siwema.
Kwanini umuite sio mwema ?
Hayo hayo yanafaa hata bibi atafurahi huko alipo maana atajua Bado anapendwa na kukumbukwa kwa wema ailiuacha hapa dunianiHakuna hata mmoja nnaemjua ana jina la asili, wote yapo dini ya kikristo kwenye biblia
Wanahitaji kufanya mambo mengine mbali na elimu maana elimu kwao sio hobby ni mzigo mzitoIla kidogo darasani huwa wazito.
Usimpe mtoto jina la marehemu wa familia au ukoo utakua unamtafutia maadui wa kudumu tangu akiwa mtoto bila kujijua na baadae atajuta kupewa hilo jinaHayo hayo yanafaa hata bibi atafurahi huko alipo maana atajua Bado anapendwa na kukumbukwa kwa wema ailiuacha hapa duniani
Mpe jina La SamiaHili jina hapa Tanzania naona kama ni adimu, zaidi ya msanii wakike tunaemjua, je? Ni jina zuri kumpa mtoto wa kike.? Au kama una jina zuri pendekeza na maana yake, DINI ukristo
Ndugu aisee aise (baba si wema) tuendelee na mjadala.Neno la mizizi wema linamaanisha tabia au matendo mema, fadhili, au kumfanyia mtu mambo mazuri yanayomfurahisha. Hivyo "si wema" huashiria kinyume chake au kukanusha wema
Linajumuisha sehemu mbili au linaweza kumaanisha "si wema" (yaani siyo wema, au hana wema), ingawa huandikwa au kutamkwa kama jina kamili Siwema.
Kwanini umuite sio mwema ?
Ila tuwape yakizungu marehemu wa familia na ukoo wao wawe maadui wetu si ndioUsimpe mtoto jina la marehemu wa familia au ukoo utakua unamtafutia maadui wa kudumu tangu akiwa mtoto bila kujijua na baadae atajuta kupewa hilo jina
Mpe jina la mabibi zako hao wanzungu unajipendekeza kwao Bure tuWanaosema nitoe ya asili na sio ya kizungu unalizungumziaje?