wamp
Member
- Sep 20, 2026
- 77
- 240
- Thread starter
- #81
Una uhakika Gani kama Mimi Sina asili ya kihebrania? Au kwakua najua kiswahiliJina zuri linatakiwa liakisi asili yako. Likunbushe mizizi ya kwenu. Sasa Abigail ni jina la kigeni. Lina asili ya kiebrania, wewe ni mhebrania?wanaija huo utumwa walishaukataa. Wanatumia majina yao. Nimekupa idea nadhani.