Jina Abigail ni zuri? Nataka kumpa mtoto wa kike

Jina Abigail ni zuri? Nataka kumpa mtoto wa kike

Hili jina hapa Tanzania naona kama ni adimu, zaidi ya msanii wakike tunaemjua, je? Ni jina zuri kumpa mtoto wa kike.? Au kama una jina zuri pendekeza na maana yake, DINI ukristo
 

Attachments

  • Screenshot_20261019_192140_Biblia.jpg
    Screenshot_20261019_192140_Biblia.jpg
    293.8 KB · Views: 5
Hili jina hapa Tanzania naona kama ni adimu, zaidi ya msanii wakike tunaemjua, je? Ni jina zuri kumpa mtoto wa kike.? Au kama una jina zuri pendekeza na maana yake, DINI ukristo
Majina yote ya wstu yanayoanzia na ABCDE ni mazuri mradi yasiwe ya kiswahili mfano Chausiku
 
Amani Jidulamabambasi
Ng'wilabuzu Ludigija
Ndimara Tegambwage
Palamagamba Kabudi
Abelnego Keshomshahara

Majina ya Kiafrika raha sana!
 
Duh!
Anyway siyo mbaya, yeye na mwenzake ndio waliotoa jasho apatikane!
Sisi ni nani wa kumuamulia!
Ila la kiasili lingenoga sana sana sana!
Hayo ya kizungu ni kasumba tu!
 
Duh!
Anyway siyo mbaya, yeye na mwenzake ndio waliotoa jasho apatikane!
Sisi ni nani wa kumuamulia!
Ila la kiasili lingenoga sana sana sana!
Hayo ya kizungu ni kasumba tu!
La asili kama lipia toaaa mfano
 
Jina la kindezi sana ABIGAIL

Mara nyingi huwa wanakuwa mazezeta mno.

Bora umuite BICHWA KOMWE atakuwa MCHANGAMFU.
 
Duh!
Anyway siyo mbaya, yeye na mwenzake ndio waliotoa jasho apatikane!
Sisi ni nani wa kumuamulia!
Ila la kiasili lingenoga sana sana sana!
Hayo ya kizungu ni kasumba tu!
La asili kama lipi?
 
Mtoto wako jina uchaguliwe na strangers online? Wamatumbi mna safari ndefu sana.

Mtoto: Baba ulipataje jina langu?
Mdingi: Ulipigiwa kura JF
 
Back
Top Bottom