kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania "Huu Sio Wakati wa Unyonge,ni Wakati wa Kuunguruma Kwa Sauti Kubwa, Kuthibitisha Maana Halisi ya Utawala wa Sheria", - Hatubabaiki- Rais wa TLS

    Wanabodi, Msikilize Rais wa TLS, Wakili Boniface Mwabukusi Atuma Salaam nzito https://youtube.com/shorts/D8VgSlxC6Uw?si=JOjb2R7WjtdwsBbf Ni kama ametangaza vita. Mzee Pasco Rejea za Pasco kumhusu Rais wa TLS...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Inashangaza kijana anasimu kubwa lakini anasema Hana office wala kazi.

    INASHANGAZA KIJANA ANASIMU KUBWA LAKINI ANASEMA HANA OFFICE WALA KAZI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Shahidi. Moja ya mambo yanayonifanya nishangae ni kuona kijana wa miaka 18 -40 mwenye simu kubwa lakini anakuambia sina office, sina kazi, na analalamika, anashutumu, analaani watu wengine...
  3. radhiya

    JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito za Zanzibar zinapatikana. Bei ya rejareja: sh 20,000/=. Bei ya Jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga tatu. Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh 3,000/= ndani ya dar...
  4. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Buriani Nyumba ya Ali Msham Tawi Kubwa la TANU 1954

    https://youtu.be/paeQDjVYfGY?si=qiQyz_-zbVFr1Xr0
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malori yanayoegesha barabarani Ubungo Maziwa kuelekea Kigogo ni kero kubwa

    Kwa masikitiko makubwa, napenda kuwasilisha kilio cha wananchi kuhusu hali inayoendelea katika Barabara ya Ubungo Maziwa kuelekea Kigogo, ambapo malori makubwa yamekuwa yakipaki kandokando na hata sehemu ya barabara kwa muda mrefu, hali inayosababisha msongamano mkubwa wa magari, usumbufu kwa...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Faida ya nchi kuwa na population kubwa.

    "Treni zinajaa, mabehewa hayaendi matupu" - Mwanaharakati wa kuongeza watu duniani.
  7. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Tukiwa tunaendelea kusubiri hukumu ya kesi ya Lissu, ni mambo gani ya kisheria yanayostahili kuangaliwa

    Ngoja nikwambie kitu kimoja kuhusu kesi hii. Ukiisikiliza kwa juu juu, unaweza kudhani mjadala mkubwa ni kwamba Lissu alisema maneno gani na aliyamaanisha nini. Lakini ukiingia ndani ya sheria, utaona kwamba swali la msingi ni kwamba.. Je, Jamhuri imethibitisha kwamba maneno hayo yanatimiza...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Sifa kubwa ya ni kuwa katili, muuaji, mtekaji and the like

    Eh Mungu wa Rehema tunusuru na wauaji. Ewe Malaika wa Mbinguni tuombee. Malaika Gabriel Tuombee. AMINA
  9. Excel VBA

    JamiiForums Tanzania Kamera kubwa zaidi duniani ilivyopiga picha za kushangaza zaidi

    Juu katika Milima ya Andes nchini Chile, Kituo cha Uchunguzi cha Vera C. Rubin kina kamera kubwa zaidi ya kidigitali kuwahi kujengwa duniani, mashine iliyoundwa kunasa picha za Ulimwengu kwa undani ambao haujawahi kufikiwa hapo awali. Ujenzi wa kituo hicho ulianza mwaka 2015, na kilitoa picha...
  10. M

    JamiiForums Tanzania MKALABOKO ndiye mchambuzi bora wa Mpira wa Tanzania kwa sasa. Media kubwa za habari zichukue mali hii.

    Sina haja ya kuongea sana. Tazama na usikilize uchambuzi wake wa mechi ya Simba dhidi ya Yanga. https://m.youtube.com/watch?v=HotFQ_8Cwn4&pp=0gcJCTcMAYcqIYzv Kocha wa Yanga ameomba taulo badala ya shuka wakati wa kulala
  11. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Watanzania hawafanyi movement kubwa ya kupinga ongezeko la unyanyasaji wa watoto Tanzania?

    Hivi ni mimi peke yangu ndio naona kuna tatizo kubwa la unyanyasaji dhidi ya watoto Tanzania Mwaka huu tumesikia kesi nyingi sana za watoto wa kiume kulawitiwa, watoto wa kike kubakwa na juzi tu huko Pemba kuna mwanafunzi ameuawa na kukatwa mkono Sikuhizi pedophiles wameongezeka sana...
  12. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Jihan unaonyesha watanzania wanaweza kuungana kwa pamoja kufanya jambo. Wanashindwa nini kutumia sauti hio kubwa kudai mabadiliko.

    Watanzania ni moja ya watu walio active sana mitandaoni Africa, Ushindi wa Jihan hauathiri maisha yao lakini wamepush hadi kimataifa. Nguvu kama hii ikitumika kumpazia Sauti hata Tundu Lisu tu anaweza achiwa mara moja. Kwa umoja huu wanaweza kudai mabadiliko kuanzia kila kona. Lakini...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mwekezaji anafanya ubaguzi wa wazi wazi kwa wafanyakazi wazawa Wilaya ya Musoma

    Kuna Mkabulu anaitwa JP La Grange ni raia wa South Africa na ni Workshop Manager Kwenye Kampuni ya Maendeleo Technologies Limited inayofanya kazi kwenye Mgodi wa POLYGOLD CO. LTD unaopatikana Wilaya ya Musoma, Mkoani Mara, Kijiji cha Seka, Kata ya Nyamrandirira. Huyu mzungu ubaguzi anaofanya...
  14. Castle_Lite

    JamiiForums Tanzania Je Ni kweli Wanaume au Wanawake watu wazima wenye vidonda/vipele kwenye Miguu au mikono kuwa % kubwa yao wameathirika na HIV?.

    Leo ni Weekend ndefu. Mipira kama Yote, na kesho ni off day. Burudani kabisa. Ila kuna tetesi nazisikiaga siku nyingi.. Na sina uhakika nazo, ingawa pia ni code huwa naitumia kwa miaka na miaka. Hivi ni kweli. Mtu mzima akiwa na vipele ambavyo haviponi au kuwa na makovu mengi ya mara kwa mara...
  15. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kwa aibu kubwa Chacha ulitakiwa kujiuzulu. Prof Kabudi amekuaibisha na hufai kuwa kiongozi wa kisiasa

    Nilipoona tu unalia kwenye vyombo vya habari kuwa ulitongozwa na ukashitaki polisi hapo ndipo nilijua hufai kuwa mwanaume na kiongozi. Prof Kabudi amekuumbua, kuwa vyombo vya dola sio mali ya CCM ni mali ya wananchi na hii ni kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa na Katiba ya JMT. Wewe...
  16. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Tanzania tupitie upya syndrome hawa watu ni wazuri sana kwenye kufanya kazi ndogo ndogo hata biashara kubwa zako.

    Syndrome kwa tanzania ni kama bado wajapewa nafasi ila ni watu wazuri sana. Kazi zao sio hatari wala mbaya na unaweza kuwapenda sana. Watu wenye syndrome ni zaidi ya hawa tuliopo. wakipata mafunzo tokea wadogo na walipo ni watendaji wakazi ambazo walio timamu ni kazi. Kuna kazi ukiwapa...
  17. radhiya

    JamiiForums Tanzania Khanga kubwa za Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito za Zanzibar zinapatikana. Bei ya rejareja: sh 20,000/=. Bei ya Jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga tatu. Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh 3,000/= ndani ya dar...
  18. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Kama ni baba yako,ndugu yako,jirani yako mwambieni Prof kabudi umri uliobakisha dhambi yako kubwa ni uwongo.

    Ingekuwa ni baba yangu ni ngemuomba tu kuachana na kutumia serikali unayoitetea kwa kubeba uwongo sana. Huyu mzee kwa uwongo inaonesha hata chuo kikuu hapo kazilisha waongo.
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO LATRA Simiyu haifanyi kazi, abiria wanatozwa nauli ambazo haziendani na umbali wa safari

    Mamlaka ya Usafirishaji Simiyu haifanyi kazi kwa usahihi, kwani abiria wamekuwa wakitozwa nauli ambazo haziendani na umbali wanaosafiri. Mfano, umbali kutoka Bariadi mpaka Dutwa ni km 38, ambapo nauli inayotozwa ni Sh3,000, huku umbali kutoka Mwakibuga wa km 6 ukitozwa Sh2,000. Umbali kutoka...
  20. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Wastaafu TISS, JWTZ, POLISI na vyombo vikuu vya Ulinzi na Usalama-hali hii inawatia ya nchi aibu kubwa!

    Sijui wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama waliostaafu wanajisikiaje sasa hivi kwa hali ya nchi , siasa zake na usalama wa nchi kwa ujumla. Hali haitii moyo kabisa. Viongozi wa sasa ni maslahi binafsi kwanza, nchi baadaye. Kula kwa urefu wa kamba. Vyombo nilivyovitaja vilikuwa na viongozi wake...
Back
Top Bottom