Wapotoshaji uwa wanawai sana kupost habari zao walizonazo mfukoni kwa maslai yao lakini kwa hili naipongeza idara ya habari ya yanga kulitolea ufafanuzi haraka sana baada ya kuanza kusambaa kwa habari ya Ramovich kuondoka!
Nimeona post nyingine zilikuwa zishapost kuwa kafukuzwa na pale kilikuwa...
Habari wakuu.
Katika haya Maisha vitu vyenye thamani kubwa ni UWAMINIFU na HESHIMA.
Kama wewe ni bosi na una mtu huyo katika ofisi yako au usimamizi wa miradi yako basi mzingatie sana huyo mtu.
I salute you kinsmen
Sajili tofauti tofauti tumeziona wakiwemo Ken gold walioleta macro wengi tu
Ila kuna maharaja yameletwa ligi kuu yanatia mashaka sana uwezo wao na ubaya ni kuwa team zao zinaona aibu kuwavunjia mkataba.
Huyu Mpanzu ndiyo garasa kuu kuliko mengine maana ameletwa kwa...
Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana.
Material: Cotton
Bei ya Khanga: sh 20,000/=
Bei ya Jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3.
Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja.
Contact/Mawasiliano: 0784...
Ikulu ya Kinshasa DRC, Rais Felix Tsheked baada ya kushika kiti aliwahi kuwaalika Wachawi maarifu wote Nchini DRC kufika Ikulu na kusaidia kuongeza nguvu kuwakabili M23 muhula wake wa pili!
Wachawi hawa kwa pamoja waliahidi kushinda Vita na walisema wako pamoja na Rais Tsheked.
Usilolijua...
Mfano tu mtu anasema babu Ferguson aliyekaa man united miaka 25 na epl 13 ni Bora kuliko pep aliyekaa miaka 7 na epl 5
Pep uyu uyu kamfunga babu mechi mbili za UCL 2009, to 2011
Nb:sijajumlisha makombe ya ligi ya Spain akiwa na Barca pep na makombe ya ligi akiwa na Bayern ujeremani
Inashangaza vikampuni ushuzi vya mabasi vimejaa shekilango. Kila baada ya miezi 6 ukirudi unakuta kishafungwa. Unganisheni Nguvu Undeni kampuni kubwa ya Mabasi yenye tija na weledi ( professional).
NB: uswahili umezidi
Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana.
Material: Cotton
Bei ya Khanga: sh 20,000/=
Bei ya Jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3.
Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja.
Contact/Mawasiliano: 0784...
Wakuu, Nina Simu yangu ambayo power ya Betri yake ni mAh 6000 na Chaja yake ina output ya 5V=2A. Hivyo nimekuja kugundua kuwa betri ya simu ni kubwa sana ukilinganisha na output ya chaja, hii inapelekea kutojaza simu/betri kwa haraka.. Just imagine natumia masaa yasiyopungua 5 kujaza simu.!! Hii...
Hizi ni nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya watu wanaoishi na VVU;
1. Afrika Kusini: 7,700,000
2. Msumbiji: 2,400,000
3. Nigeria: 1,700,000
4. Uganda: 1,500,000
5. Kenya: 1,400,000
6. Zambia: 1,300,000
7. Zimbabwe: 1,300,000
8. Malawi: 980,000
9. Ethiopia: 610,000
10. DRC: 520,000
Kama mmefuatilia huu mjadala wa Hawa jamaa was huko congo kukinukisha asilimia kubwa naona wanaowachukia ni wanaccm naomba nijue hii ipoje aisee maana ukiwasifia Hawa wapigania haki za wananchi m23 Kwa uzalendo wao watu wa ccm wanakurupuka kama wametoka usingizini kuja kupiga mkwala wa miaka ya...
FURSA KUBWA KWA WAJASIRIAMALI NA WAFANYABIASHARA!
Benki ya NMB imetenga Shilingi Bilioni 100 kwa ajili ya Mikopo ya Miradi na Biashara za kusambaza Nishati Safi ya Kupikia kwa Watanzania.
SIFA ZA MKOPO:
✔ Riba nafuu ya 1% kwa mwezi (12% kwa mwaka, reducing balance hivyo effective interest...
FURSA KUBWA KWA WAJASIRIAMALI NA WAFANYABIASHARA!
Benki ya NMB imetenga Shilingi Bilioni 100 kwa ajili ya Mikopo ya Miradi na Biashara za kusambaza Nishati Safi ya Kupikia kwa Watanzania.
SIFA ZA MKOPO:
✔ Riba nafuu ya 1% kwa mwezi (12% kwa mwaka, reducing balance hivyo effective interest...
Nchi kuwa kubwa, na dhaifu halafu kuwa na makao makuu pembezoni ni hatari sana kwa usalama wake.
Kwa nchi zetu hizi kadri unavyozidi kuwa mbali na Capital City ndivyo unavyozidi kusahaulika. Na watu waliosahaulika ni rahisi kuasi.
Hawa wameweka mji mkuu Kinshasa. Kilomita zaidi ya 2500 kufika...
Salaam,
Imenibidi niulize Kwa maana Hali Halisi niionavyo na nikiwa kama mhanga mmojawapo inanifkirisha sana. Nasema hivi sababu Kuna baadhi ya watu jinsi wanavyotendea wenye matatizo ya usikivu ni kama kuwafanya vituko. Hugeuza tatizo lao kuwa utambulisho badala ya kumsaidia.unakuta uko eneo...
Hima ni kundi la watu wa asili ya Kibantu na Nilo-Hamitic linalopatikana hasa katika maeneo ya Afrika Mashariki na Kati, hasa Uganda, Rwanda, Burundi, Tanzania, na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Historia yao ya kuingia katika nchi hizi inahusiana na harakati za uhamaji wa makabila...
Kuna mambo ambayo tunayafanya sisi Ngozi nyeusi yanatatiza sana hadi unabaki na maswali hivi hili limefanywa na binadamu mwenye akili sawasawa kweli?
Kuna visa kadhaa wa kadhaa ambavyo nimewahi kusoma sehemu tofauti tofauti na vingine kuvisikia kwa watu hasa haw wahamasishaji. Moja kisa hii...
Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Mubarak Batenga, amefanya ziara katika vijiji vya Matondo na Itumbi na kugundua changamoto kubwa zinazokabili jamii katika maeneo haya.
Katika ziara hiyo, alikuta hali ya ukosefu wa maji safi na salama, jambo ambalo ni muhimu kwa afya na ustawi wa wananchi.
Maji ni...
Pombe kali za makopo ambazo hazina viwango, na nyingne kali za kupima kwenye vikombe ama glasi(sio gongo) ambazo hazijulikani zimetengenezwa wap na kwa kutumia nini.
Wanywaji wa Pombe hizo wamekuwa wakisema zinawapotezea kumbukumbu pindi wanywapo. Na wengine hupoteza fahamu hadi siku mbili ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.