Amani iwe kwenu watu wa MUNGU
Serikali ijiandae kwa janga kubwa ambalo liko mbele yetu ndani ya mwaka huu
Kuna tetemeko kubwa sana la ardhi litaipiga inchi yetu litaipiga Dunia
EARTHQUAKES
EARTH POWER
EE BWANA YESU KRISTO tusaidie
AMINA
SAYUNI BOY
Mitandao ya kijamii imeanza kusambaza kwa kasi taarifa za kuzuiwa kwa mkutano wa Mnyika. Mjadala umeanza kupamba moto na taarifa za mkutano wa Nishati zimefifishwa.
Je tunaamani na kizazi hiki kinachopenda kujadili na kusambaza taarifa ndogo ndogo kuliko taarifa za maendeleo ya bara la Afrika...
Kuna mada nilikuta wakilalamika kuhusu Elon musk post zake.Ingekuwa maskini au Godluck mchoma gari tungesema kachanganyikiwa sababu hana kuona mbele.
Mfano Elon Musk huyu jamaa anaweza kueleza kitu ambacho utakubari ila kikifa utasema ni teknolojia imekuwa.
Historia inasema kulikuwa na watu...
Kigamboni ni eneo potential ambalo kama serikali ikiamua kutengeneza conference facility ya kimataifa, itaondoa kero ya kufanyia mikutano katikati ya jiji na kuathiri shughuli za kijamii.
Kigamboni ni mini Zanzibar na I na utulivu mkubwa na beach safi
Dar hapa bei ya tango sio poa
Tango 1 linaanzia 1000 kupanda juu
Zamani tulinunua sh 100 tu
Matango Yana kazi nyingine huko Dar
Matango yanaadimika au be mkasi
Matango hayapendwi na watoto na watu wengi
Huwezi kula tango zaidi 1
Kwanini bei iwe kubwa hivi
Namalizia utafiti wangu wa...
Kuna suala linawaumiza kichwa sana madereva walio wengi wanaondesha vyombo vya moto vyenye uzito kuanzia tani 3.5 au zaidi,
Labda nianze kwa kusema mizani mingi sana Tanzania iliwekwa sensa na foleni ktk mizani kwa kiasi kikubwa ilipungua, ila baada ya kifo cha mpendwa wetu Hayati Magufuli...
Duru za ndani ya CCM zinanyetisha kuwa hali ya mtafaruku na mfadhaiko mkubwa imeikumba CCM kutokana na pigo takatifu la ushindi wa Tundu Lisu na John Heche katika uchaguzi wa CHADEMA taifa.
Vikao vya wakubwa vimekuwa haviishi, na kupelekea kuleta hofu inayoweza kuzua mpasuko mkubwa wa ndani ya...
Huu mchezo wa mtalaamu wa siasa Mbowe nimuelewa sana kwanza ame-expose wapambe nuksi kwake na kwa Tundu Lissu lakini pia kajua kuteka attantion ya Taifa kwenye uchaguzi wa CHADEMA.
Ni dhahiri shairi mpango ulikuwa akae kando aingie Lissu ila kwa namna gani?Unadhani Lissu angegombea na Odero...
Kwanini Nyerere alisahau kutamka RUSHWA kama adui mojawapo hapa nchini?. Ni kwamba alichukulia suala la Rushwa kama kitu kidogo?
Katika mataifa ye Demokrasia, hizo tuhuma anazotoa LISSU Kila siku zilitakiwa tuone Serikali inatoa Tamko.
Na Serikali inapokaa kimya, basi Dola na vyombo vyake...
Simba katuheshimisha Watanganyika.. Kamnyoa kipara mwarabu. 💪🏿🙏🏿💥💥..!
TAL ni SIMBA kwa alama .. Ni alama Ya uthubutu mkubwa na fearless..
Tumeanza na SIMBA tunamaliza na LISSU💪🏿💪🏿💪🏿
Huko chama chawala uhuni waliofanyiana ngoja tusubiri yajayo
Siku ya leo Jumapili Januari 19 vita vya Gaza vinaingia hatua muhimu ambapo kutakuwa na usitishwaji wa vita kwa muda na ambao unaelekea kuwa wa kudumu baada vita vya zaidi ya mwaka mmoja.
Vita hivyo ni kati ya taifa kubwa kijeshi la Israel na washirika wake ambao ni mataifa makubwa dunia dhidi...
Katibu Mwenezi Makalla amesema leo kuna suprize kubwa ataitangaza kwenye mkutano wao.
Huenda hii suprize ndo ile Tetesi ya Salum Mwalimu kuhama CHADEMA na Kuhamia CCM.
Ngoja tusubirie tujionee maajabu.
Je, mafanikio ya elimu hutegemea ada kubwa ya shule au mshikamano wa familia katika kukuza juhudi binafsi za mtoto?
Swali hili linaibuka mara nyingi, hasa tunapojadili tofauti kati ya shule za English Medium na zile za kawaida, maarufu kama Saint Kayumba. Wakati wengi wanaamini ada kubwa na...
Nimekuwa najiuliza sana kama nafasi ya uenyekiti wa chadema tu mnaongea hadi mnapitiliza, mnatukanana hadi wazazi wenu, mmefikia hatua ya kuua udugu wenu, zogo kila kila siku, kila mwanachama anaita vyombo vya habari anafyatuka tu, Mbowe anaongea kule, Lissu anaongea pale, Lema yuko kule, Heche...
Kukosa Kura na Kuangushwa kwa Celestine Malley-Simba: Pigo Kubwa kwa Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA
Katika uchaguzi mkuu wa hivi karibuni wa CHADEMA, matokeo ya kukosa kura na kuangushwa kwa Celestine Malley-Simba, mwenyekiti wa chama hicho, yamekuwa pigo kubwa kwa Tundu Lissu na...
James Kimodoi Njoo uchukue Jimbo Bukoba mjini.
Kijana kimodoi kutoka Texas nchini Marekani tunakuomba uje uchukue Jimbo Bukoba mjini .
Tunahitaji Kijana Mzalendo na mchapa Kazi na anayejitambua.
Wananchi wanakuhitaji wewe tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.