Think deep: Walijua for sure, El Nino italeta maafa ya Jua Kali, ambapo huwezi " kupiga hela", wakasingizia Mvua kubwa

Think deep: Walijua for sure, El Nino italeta maafa ya Jua Kali, ambapo huwezi " kupiga hela", wakasingizia Mvua kubwa

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
THINK A BIT DEEP:

Kwa auto drive mode ambayo TANGANYIKA inapitia, nasema kuna uwezekano mkubwa, " Wapigaji" ie wezi wa hela za umma, walijua kuwa El Nino this time itakuwa JUA KALI. Kwa muktadha huo huwezi KUIBA HELA. Unafanyaje? Unadanganya kuwa El Nino itakuwa ya mvua kubwa na hivyo inahitaji maandalizi. Bajeti 700 bn! Mnazipangia work/ preparations to be done...kuzibua mitaro, madaraja, hamisha watu kando ya mito na kuwalipa fidia inflated from the actual paid......MNAPIGA HELÀ, kama vijana wa mjini wanavyoita

FINALLY, ALL IS POSSIBLE
 
Hata hilo jua lenyewe liko wapi....mbona hili joto la dareslamu tumeishi nalo mda wote
Hii nchi mpaka dk hii haina uongozi mjane mwenyewe haelewi mpaka dakika hii afanye nini
 
Back
Top Bottom