Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,817
- 14,925
Pichani ni model raia wa ujerumani Martina Big Kwa Sasa anajiita Malaika Kubwa pamoja na mumewe.
Wanandoa hawa wanadai kuvutiwa na kutamani kuwa kama waafrika ikiwemo kuhamia Africa kabisa.
Martina aliamua kuongeza maziwa,kufanya matibabu maalum ya kuchoma sindano za melanin na vichocheo vya homoni vinavybadili rangi yake na kuwa mweusi,pia akafanya operation ya kuongeza ukubwa midomo yake,baadae pia mumewe akaunga mkono juhudi zake nae kuwa mweusi,Malaika amewaambia fans wake mtandaoni bado ana mpango wa kufanya surgery ya pua iwe pana kama waafrica wengi na Wana mpango wakuja kuishi Africa kabisa.
Imenishangaza kwakweli.hivi ukiachana na hii mikorogo na mawigi pia wengi kutamani wakaishi ulaya Kuna wengine huko nao wanatamani kuwa kama sisi Tena waje kuishi huku!