Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 10,592
- 15,404
Shalooom Makamanda!!!!
Jeshi la Polisi likiwa katika majukumu yake ya kawaida limeweza kuwakamata wahalifu jijini Arusha , Taarifa zinazotufikia hivi punde zinasema kuwa gari la Kanda ya Kaskazini aina ya Toyota Land Cruiser, lililowabeba makamanda wetu, akiwemo Katibu Mwenezi wa BAVICHA Taifa Felius Festo pamoja na baadhi ya viongozi wengine wamekamatwa walipokua wanaelekea Kikatiti kwenye Mkutano wa hadharani Makamu Mwenyekitk Heche John
Kwa mujibu wa taarifa tulizonazo, Viongozi hao wapo Kituo cha Polisi cha Central, Arusha.