Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Wa-Houthi wa Yemen katika wiki za karibuni wamezidisha mashambulizi ya kijeshi ya makombora kwa nchi ya Ufalme ya Saudi Arabia wakipiga maeneo muhimu ya kimkakati katika taifa hilo ambalo wamekuwa wakipigania nalo vita kwa zaidi ya miaka kumi sasa.
Katika siku za hivi karibuni imeshuhudiwa Houthis wakipiga mashambulizi mfululizo viwanja vya ndege vya Saudi Arabia hasa uwanja mkubwa zaidi wa Saudi Arabia wa King Khalid International Airport ambapo imeshudiwa vifo na majeruhi wengi.
Katika hali hii ambapo hadi mahujaji wanashambuliwa katika viwanja vya ndege, Kaaba iko salama kiasi gani? Pia Umrah na Hija vitawezekana hii vita ikizidi kupamba moto zaidi?