Je, ni salama kama ninavyodhania?

Je, ni salama kama ninavyodhania?

Nimeandika nimefuta nimeandika tena nikafuta

Inshort sina la kusema ila kama umemchoka mfukuze tu arudi kwao na si kumtafutia vijisababu vya kijinga ,mtu umchezee miaka 9 umemzalisha then unataka kumdump with no strong reason ,bro una akili kweli? nenda hospitali ukapimwe akili mkuu
 
Screenshot_20261015-165527~2.jpg
 
Kuna namna akili yako haina akili. Masikini dada wa watu anakupenda kwa dhati kabisa, wewe mwenyewe umekiri hapa. Alafu kumbe jitu lenyewe lipo kutafta sababu za kumbwaga! Litakukuta jambo ujutie maisha yako yote! Utajuta mkuu hili nakuambia wazi wazi. JARIBU UONE, UTAJUTA!
 
Baada ya miaka 9 unajiuliza yote hayo.
Huyo dada aje kwangu nimuelekeze kwa mganga akupe kisukari
Huyo Tunamwita "Baby With Woman "
Yaani Mzazi Mwenzake Wamesota Naye Na Anakili Kuwa Hajaona Tatizo Popote Ila Amekaa T*k* Moja Kumtafutia Nongwa Amwache


Watu Wanaishi Yaani Wakitafuta Tatizo Haa
 
Relax, Taarifa mbaya ni kuwa hatuna taarifa nzuri.

Mtu isipokufaa akili yako, utakudhuru Ujinga wako.

Hilo unalotaka kutoka kwake utalipata soon by Suprise, na unaonekana huna jeuri ya kumuacha.

Be a Man.
Au siyo mwanetu, bro kwangu mimi ni heri nitumie mara moja then nkipona ni zaidi ya Monster. Nampenda ndio ila huo udhaifu sina😎
 
Back
Top Bottom