Je, ni salama kama ninavyodhania?

Je, ni salama kama ninavyodhania?

BORA MKE WA KWEKA UNGEPEWA WEWE.
Sikia kijana Huyo mwanamke usimuone mjinga, ana werevu wake akiamua kuutumia utakimbia.

Miaka tisa unataka mtoto wa watu aende wapi? Umempekua umekosa sababu unaforce sasa.
Kaka tulia na mke wako Na huyo shetani akutoke,

Watoto hawakui kwa kuongezeka miaka.
 
Na sisi msimamo wetu uko palepale wacha waendelee kujaza server za max kwa milio tofautitofauti!😅
Hakuna kulegeza..
bila pesa hapendwi mtu na wakizingua tunawawekea cement kidogo kidogo kwenye nyama roast mpaka mkeka utiki.
 
Back
Top Bottom