Bifu la kisiasa baina ya team Lema dhidi ya team Heche, nani hasa ni changamoto baina ya mafahali hawa wawili ndani ya CHADEMA?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Kwa maoni na mtazamo wako,
unadhani vita hivi baridi vya maneno kisiasa, baina ya mafahali hawa wawili wa kitaifa ndani ya chadema,
Je, inakwenda kukigawanya na kukisambaratisha chama au inakwenda kukimarisha chama na kua imara na bora zaidi? Kivipi kwa mfano?

Nani anaweza kua changamoto zaidi baina ya mafahali hawa wawili pale Chadema HQ, na hasa kwa kuzingatia tuhuma za ufisadi na usaliti ambazo ni gumzo sana ndani ya chadema kwasasa?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Wakuzua kwenye one,two!
 
-Walinunuliwa Covid19
-Kwa msaada wa serikali ya Samia pamoja na mafisadi wakishirikiana na CCM wakanunua wanasiasa 'malayamalaya'.
-Katoka Mbowe na kageuka kuwa chawa wa Samia.

----Sasa hao wote Lema hata fraction of one percent yao hajafika hivyo kuamini kuwa ana impact yoyote ni upumbavu uliokithiri, so those stupid wishful thoughts of yours it's a waste of your mental energy(that's if you have any).
CHADEMA walipofika hata atoke mwenyekiti na makamu wake bado itaendelea kuwa na nguvu pasina kupungua idadi ya supporters na well-wishers.
Tofauti ya CHADEMA na CCM ni kwamba CCM bila ya nguvu ya vyombo vya ulinzi na usalama kitaparanganyika na kufa kifo cha mende ilhali CHADEMA kinadunda huku kikipambana na Serikali, CCM, vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na judiciary.
 
kwahiyo gentleman,
bifu la timu lema na timu heche linahusiana na hizo porojo kweli?:1Head:
 
Hakuna bifu na hata huyo Lema can't manage to shake CHADEMA kwani hata Mbowe, timu Covid19 na timu CHAUMA + CCM + Serikali + TISS/Police/TPDF + Wasiojulikana(Fwele gang) wote combined wameshindwa. Lema is literally an irrelevant tiny particle in a big picture.
 
kwani kuna nini chadema baina ya viongozi wa kamati kuu? :pedroP:
 
Tlaatlaah, chawa maarufu wa Nchimbi...
Ndo tuseme umemsaliti mapema hivi?...

Muogope Mungu ndugu yangu
 
Tlaatlaah, chawa maarufu wa Nchimbi...
Ndo tuseme umemsaliti mapema hivi?...

Muogope Mungu ndugu yangu
jikite moja kwa moja kwenye hoja gentleman na itapendeza zaidi :1Head:
 
Kwa maoni na mtazamo wako,
unadhani vita hivi baridi vya maneno kisiasa, baina ya mafahali hawa wawili wa kitaifa ndani ya chadema,
Je, inakwenda kukigawanya na kukisambaratisha chama au inakwenda kukimarisha chama na kua imara na bora zaidi? Kivipi kwa mfano?

Nani anaweza kua changamoto zaidi baina ya mafahali hawa wawili pale Chadema HQ, na hasa kwa kuzingatia tuhuma za ufisadi na usaliti ambazo ni gumzo sana ndani ya chadema kwasasa?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Shoga zee unakata miuno kama unavyomfanyia wasira
 
Back
Top Bottom