Wajinga ndio waliwao..hata ingekua wewe,
jamaa anazitafuna pesa za chadema hadharani kabisa ungekaa kimya kweli gentleman?🐒
Imeandikwa,
Usimwamini mwanasiasa yeyote.
Wajinga ndio waliwao..
Mtu anakuambia nahitaji milioni 30 kwa ajili ya kampeni sijui ya nini tena anakusisitizia weka kwenye acount yake binafsi wakati chama kam a chama kina acount .
Huu si utapeli huu?
The ongoing cold war between CHADEMA 'national leaders' is merely in your wishful thinking.So,
the ongoing cold war between chadema national leaders will improve the party, right?![]()