The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,360
- 6,922
honest truth, no 1 ni .....
Mmoja hakujiuzulu, aliamua kumpuzika baada ya phase ya kwanza kumalizikahonest truth, no 1 ni .....
Ndio kujiuzulu huko.Mmoja hakujiuzulu, aliamua kumpuzika baada ya phase ya kwanza kumalizika
Sio kweli mkuu,Yule bibi,hata mume wake hajulikani aliko,alishakimbia na kuoa mke mwingine!
Ni mtu aliyeshindikana na wanaume na wanawake
Me naona kama yule alimaliza muda wake kama ilivokua kwa Kassimu majaliwaNdio kujiuzulu huko.
Aliandika barua mapema akaomba amalizie mpaka uchaguzi.
Kimsingi alijiuzuli mapema.
Ngumu sana kufanya kazi na jinsia pinzanihonest truth, no 1 ni .....
Hapana mkuu.Me naona kama yule alimaliza muda wake kama ilivokua kwa Kassimu majaliwa
Sio kweli mkuu,
Labda huna taarifa sahihi
Ohoooh! Hii ni hatari na nusu. Au kale kajamaa kanakotabasamu muda wote ndiyo kamejimilikisha jimbo?Yule bibi,hata mume wake hajulikani aliko,alishakimbia na kuoa mke mwingine!
Ni mtu aliyeshindikana na wanaume na wanawake