makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
Ujinga wa muwakilishi unawakilisha ujinga wa mteuzi...
Kitafunwa cha mzee six hiki kinajiona na chenyewe ni rais kivuli.Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema kuwa Watanzania wanapopata nafasi ya kuwaombea viongozi wa nchi, wanapaswa kuwaombea watu wawili pekee, ambao ni Rais Samia Suluhu Hassan na yeye mwenyewe.
Makonda ametoa kauli hiyo akisisitiza umuhimu wa viongozi hao kuombewa wanapopata nafasi ya kufanya maombi.
Watatuachia mtu wa sampuli yake. Wakiacha mtu sober kama Nchimbi anaweza kufukua makaburiKuna watu wanampigia chapuo mtu wa hivi kupewa madaraka makubwa nchini, mtu asiye na akili namna hii unampa madaraka makubwa unategemea matokeo gani?
Stupid is as stupid does!!
Kwa hyo jamaaa hawezi kutia simba kweli mkuuu ukiitwa utatoa ushahidiNa nyie mnampa airtime Huyu wa nini? Bro ni Bora hata ungepost habari za Kilimo Cha njugu mawe kuliko kupost habari za hili lililoshindwa kumzalisha mkewe hadi akazalishwa kwa njia ya chupa.
Naunga mkono hoja, kwasababu baada yake ni yeye ndie anafuata!Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema kuwa Watanzania wanapopata nafasi ya kuwaombea viongozi wa nchi, wanapaswa kuwaombea watu wawili pekee, ambao ni Rais Samia Suluhu Hassan na yeye mwenyewe.
Na pili mnikumbuke. Haleluya. Mnikumbuke mimi shauku yangu siku moja mle bungeni mle yalipuke mapepo
Mwisho hapo ungemaliza na kibwagizo pendwa cha Muslims Destroy Nation.huyo jamaa siku akija kuachwa yatima sijui atakimbilia wapi, cha ajabu raisi samia ana watu wengi wanaouhitaji na kuutegemea uraisi wake kwenye mambo yao lkn wako kimya, siyo kwa sababu ni wajinga bali wanajua kwamba kuna kesho pia.
low iq dude ...
Kwasababu Bungeni kuna Mapepo,pamejaa ushirikima...by MakondaKwanini wawili tu?
2030 watatoana meno kwaiyo hii nchi ina viongozi wawili tuu?Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema kuwa Watanzania wanapopata nafasi ya kuwaombea viongozi wa nchi, wanapaswa kuwaombea watu wawili pekee, ambao ni Rais Samia Suluhu Hassan na yeye mwenyewe.
Makonda ametoa kauli hiyo akisisitiza umuhimu wa viongozi hao kuombewa wanapopata nafasi ya kufanya maombi.
Mnapopata nafasi ya kuwaombea viongozi, mnapopata nafasi ya kuwaombea viongozi, ninaomba niwaletee watu wawili kwenu, msiache kuwaombea.
Wa kwanza ni Daktari Samia. Huyu mama tuendelee kumuombea. Mungu ampe ulinzi, ampe mafunuo, ampe picha ya kuipeleka Tanzania mbele zaidi. Lakini pia nchi yetu ipate kubarikiwa na riziki yetu izae matunda.
Na pili mnikumbuke. Haleluya. Mnikumbuke mimi shauku yangu siku moja mle bungeni mle yalipuke mapepo
Ni Utelezi sio uteuzi rekebisha hapo.Daah ,yeye na boss wake .
Huyu jamaa kahidiwa kautezi Nini
Ngoja nicheki VAR
Harooo <akonda mbona unakuwa mbinafsi sana?Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema kuwa Watanzania wanapopata nafasi ya kuwaombea viongozi wa nchi, wanapaswa kuwaombea watu wawili pekee, ambao ni Rais Samia Suluhu Hassan na yeye mwenyewe.