Makonda: Mnaposali, waombeeni watu wawili, Rais Samia na mimi

Mkuu Kaka Mkubwa, kwa hizi dini kuu mbili, Wakristu na Waislamu, Mungu ni mmoja, dua, sala, swala, maombi ni maneno tuu tofauti lakini kitu ni kile kile, hivyo dua ni sawa na sala.

Mimi pia naunga mkono waombewe,

Voices From Within: Nimeambiwa Watanzania wote Wazalendo wa kweli kwa Taifa, Tumuombee Rais Samia Afya njema​

Kwasababu akimaliza huyu wa sasa, anayemfuatia ni huyu kijana kama nilivyo eleza hapa Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!, na kisha kusisitiza hapa

Huyu Ndiye Makonda Ninaye Mjua na Niliye Mzungumza Humu!. Hapapasi, Hamung'unyi, Hakopeshi, ni Ananyoosha Tuu Kama Rula!. Kama ni YEYE, na Iwe! .l​

P
Mkuu Paskali, Wakristo na Waislamu wana miungu wawili tofauti kabisa. Wa kwanza wana Mungu mwenye mtoto wa pekee ambaye ndiye Yesu Kristo, wa pili wanaye Allah ambaye hana mtoto.
 
Mkuu Kaka Mkubwa, kwa hizi dini kuu mbili, Wakristu na Waislamu, Mungu ni mmoja, dua, sala, swala, maombi ni maneno tuu tofauti lakini kitu ni kile kile, hivyo dua ni sawa na sala.

Mimi pia naunga mkono waombewe,

Voices From Within: Nimeambiwa Watanzania wote Wazalendo wa kweli kwa Taifa, Tumuombee Rais Samia Afya njema​

Kwasababu akimaliza huyu wa sasa, anayemfuatia ni huyu kijana kama nilivyo eleza hapa Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!, na kisha kusisitiza hapa

Huyu Ndiye Makonda Ninaye Mjua na Niliye Mzungumza Humu!. Hapapasi, Hamung'unyi, Hakopeshi, ni Ananyoosha Tuu Kama Rula!. Kama ni YEYE, na Iwe! .l​

P
Kaka mkubwa Paskali, naomba kutofautiana nawe. Allah na Yesu hawawezi kuwa kitu kimoja. Unless ukiambie Yesu si Mungu kwa wakristo. Labda nikuulize swali, Yesu ni mtume au Mungu? Sababu tunaambiwa Mtume Mohamed SAw ni mtume. Is yesu God?
 
Mkuu Kaka Mkubwa, kwa hizi dini kuu mbili, Wakristu na Waislamu, Mungu ni mmoja, dua, sala, swala, maombi ni maneno tuu tofauti lakini kitu ni kile kile, hivyo dua ni sawa na sala.

Mimi pia naunga mkono waombewe,

Voices From Within: Nimeambiwa Watanzania wote Wazalendo wa kweli kwa Taifa, Tumuombee Rais Samia Afya njema​

Kwasababu akimaliza huyu wa sasa, anayemfuatia ni huyu kijana kama nilivyo eleza hapa Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!, na kisha kusisitiza hapa

Huyu Ndiye Makonda Ninaye Mjua na Niliye Mzungumza Humu!. Hapapasi, Hamung'unyi, Hakopeshi, ni Ananyoosha Tuu Kama Rula!. Kama ni YEYE, na Iwe! .l​

P
sawa Pascal Mayalla ngoja tuwaombee wauwaji, waishi miaka mingi na wawauwe watanganyika kwa wingi! zaidi ya MO29
 
Back
Top Bottom