samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Wa kagema aliliwa kichwa Uganda, wa Museveni yupo gerezani kwa uhaini,wa Samia nae yupo gereji kwa uhaini mnao bakia upinzani spoko za moto zinawausu

    Kiiza Besigye awala wa mke wa Museveni yupo gerezani,kisa uhaini Lissu mpinzani mkuu wa Samia yupo gerezani uhaini Kagame yeye,hataki shida wake amemla kichwa mapema na amezikwa paspo kichwa. Mnao bakia upinzani Tanzania mwafaka nini? Nina hakika ile tume itatoa mstakabali wa upinzani...
  2. C

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 THRDC Yapendekeza Oktoba 29 kuwa siku ya kitaifa ya kumbukizi

    Kituo cha Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) kimependekeza Oktoba 29 ya kila mwaka iwe Siku ya Kitaifa ya Kumbukizi ya matukio ya Oktoba 2025, ili kuwakumbuka wahanga na kuweka mikakati ya kuzuia kujirudia kwa vifo, majeruhi na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Katika taarifa yake...
  3. Son of Israel from Africa

    JamiiForums Tanzania Nini CHADEMA wamefanikiwa kwa utawala huu wa Ndugu Samia

    Wanajamvi salama kwenuu. Leo tuweke mambo makubwa ya waliofanikiwa CDM toka uongozi wa Mh Tundu antipas Lisuu. 1. Chadema wamefanikiwa kusumbua kwa hoja kutuu huu utawala vibaya mnoo kila aliye ndani ya utawala wa mh sana Samia anazunguka tuu CDM oo Sijui Heche sijui Msigwa sijui Lisuu anzia...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kawaida: Baada ya Mungu na Mtume (SAW) hakuna zaidi ya Samia(yaani ni Samia zaidi ya Yesu Kristo)

    Tumefika huku! Time will tell!
  5. mirindimo

    JamiiForums Tanzania UV CCM BAADA YA KUAMBIWA NI WALA RUSHWA WASEMA SAMIA NI MUNGU WA 3 DUNIANI

  6. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania DKT. SAMIA SULUHU HASSAN ANG’ARA AFRIKA KWA DIPLOMASIA YA AMANI

    Uwezo wa Dkt. Samia Suluhu Hassan katika diplomasia na mahusiano ya kimataifa unaifanya Tanzania kuendelea kuwa sehemu muhimu ya juhudi za kukuza amani na mshikamano barani Afrika. Kupitia mazungumzo, ushirikiano na maridhiano, diplomasia inakuwa daraja la kutatua migogoro na kujenga mahusiano...
  7. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Nataka niwe navaa hijabu na magauni marefu mpirani, nijipodoe, nivae miwani nisimame dk 90 kwa heshima ya mama Samia

    Naamini nitakuwa nalipwa mamilioni kila mechi iishapo na nitaalikwa ikulu kula bata
  8. mirindimo

    JamiiForums Tanzania NI NINI KIMEBADILIKA KWA AWAMU HII YA SAMIA ?

    CHAGUZI kuu 7 tangu 1995, LAKINI pamoja na upinzani mkali sana hasa 1995, 2000, 2010 na 2015, hatukuwa na hali hii ya sasa ya UGAIDI na UHAINI! What changed?
  9. uhuruborn

    JamiiForums Tanzania TANZANIA BAADA YA SAMIA: JE, NI WAKATI WA KUJADILI SERIKALI YA MPITO NA UCHAGUZI KABLA YA 2030?

    Katika siasa, hakuna uongozi unaopaswa kuonekana kuwa mkubwa kuliko taifa lenyewe. Viongozi huja na kuondoka, lakini nchi inabaki. Ndiyo maana Watanzania wanapaswa kuanza kufikiria kwa kina kuhusu mustakabali wa taifa, namna ya kujenga taasisi imara na jinsi ya kuhakikisha kwamba mabadiliko...
  10. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan ametufundisha kuwa uongozi ni Sayansi na mipango

    1. Uongozi ni Sayansi maana yake ni kubaini mahitaji ya watu na changamoto zao na kuzitatua bila kuleta taharuki. Wote tunaona vile wavunjaji wa Sheria wanavyoshughulikiwa kwa ustadi mkubwa huku wakiacha somo kuwa hakuna aliyejuu ya Sheria (Rule of Law) 2. Uongozi ni mipango maana yake ni...
  11. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania MAONO YA DKT. SAMIA KUKUZA UCHUMI AFRIKA

    Sekta ya madini yawekewa mkazo katika kukuza uchumi, kupunguza utegemezi wa ufadhili wa utafiti na kuhakikisha matumizi sahihi ya asilimia 10 za mapato ya mauzo kwa maendeleo yenye tija.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Amekuwa kama Imani kwa Watanzania Ambayo Huwezi kuwabadilisha watu kifikira. Amejijengea Himaya na Ngome yake katika Mioyo ya watanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Sasa Rais Samia ni Kama Imani kwa Watanzania. Ni Rais ambaye amefanikiwa kujijengea Himaya na Ngome yake binafsi ndani ya Mioyo ya watanzania. Huwezi kupenya na kuharibu imani hiyo ya watanzania kwa Rais Samia . Unaweza wapokonya watanzania kitu chochote kile lakini...
  13. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Profesa wa Sayansi ya Siasa na Uongozi Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan aongoza kikao cha baraza la Mawaziri

    Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 21 Oktoba, 2026.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Upinzani wa Samia kautengeneza kwa kiburi chake mwenyewe

    Samia tumejua ana vitu 5 vikubwa 1. Ni mtu wa visasi angalieni tu alivyomfanyia Nchimbi na Ndugai pamoja na kustaafu! 2. Hajawahi kuomba msamaha kwa lolote 3. Anapenda kusifiwa hata kwa unafiki aka machawa. Hizo PHD mchara 4. Mwoga sana wa kila mtu ushahidi kwa Lissu, Nchimbi, Ndugai na wengine...
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Lissu ateuliwa kushindania tuzo ya haki za binadamu. Aibu kwa Samia na washauri wake

    Akishinda Samia na genge lake watapata aibu kubwa.👇
  16. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania CCM kutaka maridhiano ni ushahidi kuwa zile 98% za Samia ni uongo

    Kama uchaguzi ulifanyika na watu walishiriki na matokeo yakawa ushindi wa kishindo kwa samia (asilimia 98), maridhiano yanini sasa? Kama watu 98 kati ya 100 wanawaunga mkono hawa wawili wanawauma nini? Tafadhali sana, mleteni Samia ahutubie hadharani tuoneshe mahaba yetu kwake. Yeye si mjuaji...
  17. technically

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Yuko wapi

    Leo tarehe 19/10/2026 alitakiwa alitakiwa kuonekana kwenye uzinduzi sehemu fulani na hajatokea. Watanzania tunayo haki ya kikatiba kufahamu rais Yuko wapi kwa sababu urais sio wa CCM Wala wa familia yake ni wa nchi na wa wananchi wote. Ikulu itoe statement iseme rais Yuko wapi.
  18. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Samia ICC imefikia wapi?

    Mwishoni mwa mwaka 2025 na mwanzoni mpaka katikati ya mwaka 2026 kulikuwa na suala la Samia kuhitajika ICC kujibu tuhuma zinazomkabili. Mwanzoni tulikuwa tunapata updates za nini kinachojiri mara kwa mara ila kwa sasa imepita muda mrefu i.ekuwa kimya sana. Inasikitisha zaidi kuona watanzania...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania Tuna kila Sababu ya Kumshukuru Rais Samia, Wakati Sisi Tuna Kula na Kuvimbiwa Wenzetu Ulaya Wanashinda na kulala na njaa

    Ndugu zangu Watanzania, Watanzania tuna kila sababu ya Kumshukuru Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa kazi kubwa anayoendelea kuifanya kwa Taifa letu. Tunashukuru kwa uchapakazi wake . Tumshukuru kwa kujitoa na Kujitolea...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ni Buheri wa Afya na Anaendelea Vizuri Kabisaaa na Anawatakia Kila La Heri Kidato cha Nne Katika Mitihani Yao .Huu Ndiyo Ujumbe Wake .

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ni Buheri wa Afya , anaendelea vizuri kabisa ,Yupo Salama kabisa , ni Mzima wa Afya,Yupo vyema kiafya na kimwili na anaendelea kutoa maelekezo na kutekeleza vyema...
Back
Top Bottom