Nini CHADEMA wamefanikiwa kwa utawala huu wa Ndugu Samia

Son of Israel from Africa

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
2,006
Reaction score
2,963
Wanajamvi salama kwenuu.

Leo tuweke mambo makubwa ya waliofanikiwa CDM toka uongozi wa Mh Tundu antipas Lisuu.

1. Chadema wamefanikiwa kusumbua kwa hoja kutuu huu utawala vibaya mnoo kila aliye ndani ya utawala wa mh sana Samia anazunguka tuu CDM oo Sijui Heche sijui Msigwa sijui Lisuu anzia Viongozi wa Jumuiya zote za CCM ,KAMATI KUU ,MWENYEKITI ,MAKAMU MWENYEKITI NA HATA VYOMBO VYAO WA ULIZI NA USALAMA NA HATA WANACHAMA Lucas Mwashambwa Tlaatlaah na wengine wengii.

2 CDM imefanikiwa kitikisa mihimili yote ya nchi Mahakama ,Bunge na hata serikali kila mahali ukienda utasikia wanaizungumzi CDM.
Mahakama wapo na makesi kibao kila kona ya nchi ,
Bunge hawana hata balozi wa nyumba kumi lkn ukisikia wanavyosemea wanachi aa utazani wana wabunge wengi.
Serikalini sasa mawaziri wako kila siku kuwajibu

3. HAKUNA MWANANCHI ANZIA WATU WAZIMA NCHINI ASIYEFAHAMU CDM WATU WAZIMA VIJANA WABABA WAMAMA HATA WATOTO WADOGO CDM AU TUNDU HECHE LEMA NA WENGI KIBAO

4.KIMATAIFA ASEE WAMEFANIKIWA SANA WAPO WANAZUNGUMZIWA KWENYE VYOMBO VYA KIMATAIFA KULIKO CHAMA CHOCHOTE ,MABUNGE ,WANANCHI WA KAWAIDA NA KIUKWELI WAMEFANIKIWA.

MWISHO LKN SIO KWA UMUHIMU NIMEANDIKA KWA HERUFI KUBWA KWA SABABU NI WANANCHI WAKAWAIDA NDIO wanachama.

5 Kuendesha chama bila ruzuku na hata mia wakawashawishi wanachi wawachangie .

Pamoja na changamoto zote wanafanya mikutano yao kila eneo na wananchi wanawaunga mkonoo

Page zao zinawafuasi wengi vibaya snaa💛💛💛💛💛💛✅️👋👋

Wakereketwa wenzangu wa Lumumba na viunga vya chama njooni niko tayri kuwaelimisha kwamba kuna lakujifunza ndani ya chama chetu sio kutoa milio tuu
 
Wanajamvi salama kwenuu.

Leo tuweke mambo makubwa ya waliofanikiwa CDM toka uongozi wa Mh Tundu antipas Lisuu.

1. CDM wamefanikiwa kusumbua kwa hoja kutuu huu utawala vibaya mnoo kila aliye ndani ya utawala wa mh sana Samia anazunguka tuu CDM oo Sijui Heche sijui Msigwa sijui Lisuu anzia Viongozi wa Jumuiya zote za CCM ,KAMATI KUU ,MWENYEKITI ,MAKAMU MWENYEKITI NA HATA VYOMBO VYAO WA ULIZI NA USALAMA NA HATA WANACHAMA Lucas Mwashambwa Tlaatlaah na wengine wengii.

2 CDM imefanikiwa kitikisa mihimili yote ya nchi Mahakama ,Bunge na hata serikali kila mahali ukienda utasikia wanaizungumzi CDM.
Mahakama wapo na makesi kibao kila kona ya nchi ,
Bunge hawana hata balozi wa nyumba kumi lkn ukisikia wanavyosemea wanachi aa utazani wana wabunge wengi.
Serikalini sasa mawaziri wako kila siku kuwajibu

3. HAKUNA MWANANCHI ANZIA WATU WAZIMA NCHINI ASIYEFAHAMU CDM WATU WAZIMA VIJANA WABABA WAMAMA HATA WATOTO WADOGO CDM AU TUNDU HECHE LEMA NA WENGI KIBAO

4.KIMATAIFA ASEE WAMEFANIKIWA SANA WAPO WANAZUNGUMZIWA KWENYE VYOMBO VYA KIMATAIFA KULIKO CHAMA CHOCHOTE ,MABUNGE ,WANANCHI WA KAWAIDA NA KIUKWELI WAMEFANIKIWA.

MWISHO LKN SIO KWA UMUHIMU NIMEANDIKA KWA HERUFI KUBWA KWA SABABU NI WANANCHI WAKAWAIDA NDIO wanachama.

5 Kuendesha chama bila ruzuku na hata mia wakawashawishi wanachi wawachangie .

Pamoja na changamoto zote wanafanya mikutano yao kila eneo na wananchi wanawaunga mkonoo

Page zao zinawafuasi wengi vibaya snaa💛💛💛💛💛💛✅️👋👋

Wakereketwa wenzangu wa Lumumba na viunga vya chama njooni niko tayri kuwaelimisha kwamba kuna lakujifunza ndani ya chama chetu sio kutoa milio tuu
this is useless and nonsense article of the day gentleman 🐒
 
Maza hata hajui ashike lipi, mfano Cdm iligomea uchaguzi machawa wakamshika maskio maza atoe pesa kwa chauma ili waizime chadema matokeo yako yamisababisha kila tarehe 29 oct tuwe tunawakumbuka wahanga. Nitukio ambalo maza kila akilikumbuka nachozi yanambubujika maana kwanamna alivyo chafuka ni hatari sana.
 
Back
Top Bottom