Kawaida: Baada ya Mungu na Mtume (SAW) hakuna zaidi ya Samia(yaani ni Samia zaidi ya Yesu Kristo)

namwelewa sana comrade kawaida,script aliyopewa anaicheza vema sana!

Jpm aliitwa Mungu,yesu,Musa hata wakadiriki kutaka bunge la miaka saba!!

Lakini ,nini kilitokea!!?

Naona ujinga ule ule unarudiwa na matokeo yatakua Yale yale!!
Ni kitu ambacho hakina ukweli wowote, na waache kupotosha.
 
Kwani kasema ni Mtume ,kama huelewi kaaa kimya ,baada ya Mungu na Mtume kwa waislamu anayefuata ni mama .

Usikurupuke...
Wewe ndio hauelewi kabisa. Mbona umewaacha wale waliokuwa mwenye sura turi jini yanayoingia Msikitini kuswali.
 
Huyo kenge katumia uono wa dini yake yake ya kiislam kukufuru, ni mpuuzi anadhani ccm ina waislam watupu
 
Hosea 4:6

Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe....
 
Kijana mjinga
Mkuu kijana mjanja huyo. Anajua kabisa anachokisema siyo kweli ila kwa sababu anajua anamwaga sifa kwa zezeta ambalo hakuna kitu kichwani, basi anaona alikehi ili mkono uende kinywani. Hivi hujaenda kwa wapiga debe kwenye mabasi uone wanavyowachomekea mabwege magari mabovu huku wakisifia ni mabasi ya ''wajanja''?
 
Hujafahamu alivyokusudia. Lkn amekosea sana. Vijana hasa wa kiislam wanatakiwa waisome Dini yao, ukisoma dini kuna kauli huwezi kuzitoa hata uwe na cheo gani ktk dunia hii na hata uhaidiwe nini.
Hao kina Kawaida wamelewa madaraka
 
Kwakuwa uzi ni umeletwa na mfuasi wa Chadomo

Lengo kufanya Uchochezi!!!!

Binafsi nasikitika kile vijana wa Chadomo wenye umri mdogo wanavyo teseka kwa kudanganywa na Kaka Chadomo wakubwa!!!

RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN yupo pale kwamujibu wa Katiba sio kwa mujibu wa Imani yake ya Dini

CCM ni ya Watanzania wote kwa Imani zao

SERIKALI ya 2030-2035 lazima itakuwa chini ya kiongozi Mkristo %100

Hii ndio tofauti ya CCM na vyama vyengine wasindikizaji kama Chadema au ACT nk.

Vyama ivyo nguzo zao kuu ni Udini ndani yake!! Vinapumua kwa nguvu ya Udini wa wafuasi wake!!!

ACT imejikita kwa Waislamu

CHADEMA kwa Wakristo

CCM chama cha Taifa Tanzania hakina Dini yenye kuthibitishwa ndio Dini yake!!

Tatizo vijana wadogo mnawatesa bure kuwafanya wawe na mtazamo CCM ya waislamu!!

kumbe ni uwongo mtupu kesho 2030-2035 mtawadanganya nini kuhusu CCM

CCM DAIMA MILELE
 
Mtu mwenyewe anaitwa kawaida huna haja ya kujiuliza sana juu ya huyu mla rushwa
 
Wewe ndio hauelewi kabisa. Mbona umewaacha wale waliokuwa mwenye sura turi jini yanayoingia Msikitini kuswali.
Fala hujielewi ,mbona hausemi na mtaendelea kuchanganyikiwa kwa vile mnatumia nyege za paulo badala ya akili 🤣🤣
 
kama unapinga leta andika na mimi nitaleta zaidi ya moja 🤣🤣..Kijana wa paulo nenda kwenye misa huko ya mliwatuma kupindua nchi ...Tulijua tu ni kanisa .

Niko hapa leta andika la kupinga na mimi nitaleta zaidi ya moja juu ya mama kubwa bora baada ya Mungu na Mtume.
 
Kama mnataka vita si muazishe tuone, makelele mengi mitandaoni wakati mkiwa mtaani ni makondoo wa bwana
Mtabindwa kama magaidi. Mjirige mumchinje mkristo hata mmoja huku mkisame allah akbar na msambaze hiyo video MUONE!!
 
Alaaniwe aliyemzaa huyu kiumbe.
Hapana kaka utawaonea wazazi wa uyo kijana, ni Bora ukatoa lahana Kwa Chama kilichomtengeneza kuwa hivyo, yawezekana hata wazazi wake wanashangaa namna kijana wao anavyoyaishi maisha ya Uchawa.
Mungu azidi kumsaidia kijana Kawaida...Kwa maana imeandikwa tuwaombee heri wale wanaotukosea na kuwasamehe...maana najua vita si vyetu bali ni vya yule anayemdhiaki.
 
ukweli utabaki chini ya Utawala wa kiongozi wa kislam taifa linakuwa huru zaidi !! Kila Mtanzania vyombo vya habari japo vinapata kuwema kidogo!!
Utawala wa mzee Jakaya Mrisho na wasasa
Tangu mwanzo nchi nikama ilitoka kifungoni

Viongozi wapinzani waliachiwa huru media wakapewa pia uhuru wao!!

Lkn Viongozi wa KANISA wakachukizwa na Demokrasia ya mpya yenye kiongozi wa kislam sifa nyingi zinaenda kwa Viongozi wa kislam tofauti na Viongozi wao wa Kikristo katoliki

Ndio mipango ya kumkwaza ikaundwa hili kuchagiza utawala wake yakiwemo yale ya Mo29 kisa cha Mo29 kipo waziwazi ni Viongozi wa Kikristo wamefanya Uchochezi Uchonganishi kwa nguvu kubwa tena waziwazi Mo29 ilitakiwq watu wafe kwao vyovyote ni Ushindi
Mana sasa wanadai Damu zawatu

Utawala umeuwa watu!!

Ni mipango kumchafua kiongozi wa kislam
Ambaye kaingia na kuonesha tofauti ya kiongozi kati ya Muislamu na Mkristo

Muhimu Viongozi wa Kikristo wakipata kiongozi baada ya CCM kumteuwa wangekanae kiongozi wao na kumpa maneno yenye hekima yakiwemo kuvumilia vishindo vya upinzani

Sababu Waislamu hawana tabia ya chuki dhidi ya kiongozi kwakuwa ni Mkristo chuki ilikwisha tangu utawala wa Benjamin William Mkapa

kutokea pale Waislamu wanapokea Viongozi kwa jicho la kiongozi wetu sote!!

Kwaiyo utawala wa Mkristo ndani ya CCM upinzani wake ni kutokea chama cha Upinzani sio Udini Udini kama sasa Samia must go Aleluyaaaaa ¿¿¿

Viongozi wa Kikristo ni lazima sio ombi mwaka 2040-2045 kiongozi wa kislam wamwache kutawala kwa uhuru wake
Matendo ya kumchochea kwa Waumini wa Kikristo ni aibu kwa Makanisa yenyewe ¿¿¿

Mana Waislamu hawako uko kwasasa!!!

lkn Viongozi wa Dini ya Kikristo ndio wamekuwa kama Waislamu wa mwaka 2000 kipindi cha Benjamin William Mkapa !!!
manake Waislamu wapo mbele ya Muda sio !!!!

japo mnadai Kipropaganda kwamba hawajasoma sasa mbona wapo mbele ya Muda¿¿¿

Mo29 isingekuwepo kama sio rasilimali zao KANISA katoliki kutumika vibaya kuchagiza kuchochea Watoto kupinga Uchaguzi wa October 2025!

Sijui tumepata faida gani kupoteza Watoto kwa lengo tu kuchafua Utawala mwenye Dini tu ya Uislamu ni masikitiko makubwa ¿¿

Mtoto hata hawe mmoja Samani yake ni kubwaa sana kuliko chengine chochote !!!

yule ni Binadamu mwenye kutwamini sisi Wakubwa kumwelekeza nini cha kufanya nini sio cha kufanya !!!

Mungu wetu hatuongoze kujutia makosa
yetu

CCM na Viongozi wake watabaki weupe wasio na Dini yenye kuipendelea lazima watawale kwa kuwaunganisha Watanzania wote!!!

Dini ni upendo Viongozi wa Dini wanapaswa kumiliki Upendo mwingi mioyoni mwao !!!✍️

Tanzania yenye maendeleo makubwa inawategemea pamoja na viongozi wa Dini wenye upeo mkubwa wenye kuamini kesho yenye salama ujengwa leo ✍️

Ninaamini sio dhambi kwa Viongozi wa Kikristo kujifunza hekima za kwenye Dini zote mbili kile watakiona kizuri wakichukue kumfunda kiongozi wao wa Kikristo baada ya kupitishwa na CCM

hili uyo kiongozi haje kuwa kiongozi mzuri mwenye kutawala nyoyo za Watanzania na sio kutawala viwiliwili vya Watanzania!!

Ukweli utabaki Viongozi kutokea kwa Waislamu wanafanya vizuri na sio waoga kabisa na upinzani wao

Tunakumbuka kipindi cha Chadema chini ya Rip Edward Lowassa na CCM chini ya Jakaya Mrisho Kikwete mzee Jakaya hakitaka kumpa utawala Rip JPM

Chadema ilikuwa MOTO mkubwa Umati wawatu kwenye kampeni za Chadema ulitisha watu tulijawa na wasiwasi !!!

lkn mzee Jakaya Mrisho Kikwete hakuwa na wasiwasi wowote mikutano ya Chadema ilifanyika kwa Amani kabisa
mpaka siku ya kufunga kampeni hawakupigwa Mabomu kwenye mikusanyiko yao ya kampeni!!!

Ile mbungi ingekuwa Jakaya ni kiongozi kutokea kwa Wakristo sijui kama upinzani wasingezika vijana wengi kabla ya Uchaguzi wenyewe!!!

Viongozi wa Dini wanapaswa kuwapa mafundisho yenye kuwapa hekima kuwapa ujasiri
Wa kuvumilia kuona wasichopenda kwenye macho yao

uhongozi ni busara nyingi nyingi
Hili tuwaepushe Viongozi wetu na vidonda vyenye kuepukika kwenye nafsi zao,

kuuwa Binadamu mwengine ni jambo bayaaa kwa nafsi
yoyote hile✍️
 
Kwanza wathibitishe huyo Mungu yupo.

Vinginevyo list hii ni batili.
nani aliyeumba mikono ya mwanadamu na akafanya Kila mtu kuwa na alama zake unique zisifanane na za mwingine?yaan finger point? Na kwann ****** asingeuweka sehemu ya mbele ya Head (kichwa?

Huu mpangilio Bora kabisa wa viumbe vyote,ebu niambie kuna mwanasayansi ndio kahusika na huu uumbaji Boss? sijamtaja Mungu hapo,we nisaidie nani kaumba kwa juzi huo?
 
ukweli utabaki chini ya Utawala wa kiongozi wa kislam taifa linakuwa huru zaidi !! Kila Mtanzania vyombo vya habari japo vinapata kuwema kidogo!!
Utawala wa mzee Jakaya Mrisho na wasasa
Tangu mwanzo nchi nikama ilitoka kifungoni

Viongozi wapinzani waliachiwa huru media wakapewa pia uhuru wao!!

Lkn Viongozi wa KANISA wakachukizwa na Demokrasia ya mpya yenye kiongozi wa kislam sifa nyingi zinaenda kwa Viongozi wa kislam tofauti na Viongozi wao wa Kikristo katoliki

Ndio mipango ya kumkwaza ikaundwa hili kuchagiza utawala wake yakiwemo yale ya Mo29 kisa cha Mo29 kipo waziwazi ni Viongozi wa Kikristo wamefanya Uchochezi Uchonganishi kwa nguvu kubwa tena waziwazi Mo29 ilitakiwq watu wafe kwao vyovyote ni Ushindi
Mana sasa wanadai Damu zawatu

Utawala umeuwa watu!!

Ni mipango kumchafua kiongozi wa kislam
Ambaye kaingia na kuonesha tofauti ya kiongozi kati ya Muislamu na Mkristo

Muhimu Viongozi wa Kikristo wakipata kiongozi baada ya CCM kumteuwa wangekanae kiongozi wao na kumpa maneno yenye hekima yakiwemo kuvumilia vishindo vya upinzani

Sababu Waislamu hawana tabia ya chuki dhidi ya kiongozi kwakuwa ni Mkristo chuki ilikwisha tangu utawala wa Benjamin William Mkapa

kutokea pale Waislamu wanapokea Viongozi kwa jicho la kiongozi wetu sote!!

Kwaiyo utawala wa Mkristo ndani ya CCM upinzani wake ni kutokea chama cha Upinzani sio Udini Udini kama sasa Samia must go Aleluyaaaaa ¿¿¿

Viongozi wa Kikristo ni lazima sio ombi mwaka 2040-2045 kiongozi wa kislam wamwache kutawala kwa uhuru wake
Matendo ya kumchochea kwa Waumini wa Kikristo ni aibu kwa Makanisa yenyewe ¿¿¿

Mana Waislamu hawako uko kwasasa!!!

lkn Viongozi wa Dini ya Kikristo ndio wamekuwa kama Waislamu wa mwaka 2000 kipindi cha Benjamin William Mkapa !!!
manake Waislamu wapo mbele ya Muda sio !!!!

japo mnadai Kipropaganda kwamba hawajasoma sasa mbona wapo mbele ya Muda¿¿¿

Mo29 isingekuwepo kama sio rasilimali zao KANISA katoliki kutumika vibaya kuchagiza kuchochea Watoto kupinga Uchaguzi wa October 2025!

Sijui tumepata faida gani kupoteza Watoto kwa lengo tu kuchafua Utawala mwenye Dini tu ya Uislamu ni masikitiko makubwa ¿¿

Mtoto hata hawe mmoja Samani yake ni kubwaa sana kuliko chengine chochote !!!

yule ni Binadamu mwenye kutwamini sisi Wakubwa kumwelekeza nini cha kufanya nini sio cha kufanya !!!

Mungu wetu hatuongoze kujutia makosa
yetu

CCM na Viongozi wake watabaki weupe wasio na Dini yenye kuipendelea lazima watawale kwa kuwaunganisha Watanzania wote!!!

Dini ni upendo Viongozi wa Dini wanapaswa kumiliki Upendo mwingi mioyoni mwao !!!✍️

Tanzania yenye maendeleo makubwa inawategemea pamoja na viongozi wa Dini wenye upeo mkubwa wenye kuamini kesho yenye salama ujengwa leo ✍️

Ninaamini sio dhambi kwa Viongozi wa Kikristo kujifunza hekima za kwenye Dini zote mbili kile watakiona kizuri wakichukue kumfunda kiongozi wao wa Kikristo baada ya kupitishwa na CCM

hili uyo kiongozi haje kuwa kiongozi mzuri mwenye kutawala nyoyo za Watanzania na sio kutawala viwiliwili vya Watanzania!!

Ukweli utabaki Viongozi kutokea kwa Waislamu wanafanya vizuri na sio waoga kabisa na upinzani wao

Tunakumbuka kipindi cha Chadema chini ya Rip Edward Lowassa na CCM chini ya Jakaya Mrisho Kikwete mzee Jakaya hakitaka kumpa utawala Rip JPM

Chadema ilikuwa MOTO mkubwa Umati wawatu kwenye kampeni za Chadema ulitisha watu tulijawa na wasiwasi !!!

lkn mzee Jakaya Mrisho Kikwete hakuwa na wasiwasi wowote mikutano ya Chadema ilifanyika kwa Amani kabisa
mpaka siku ya kufunga kampeni hawakupigwa Mabomu kwenye mikusanyiko yao ya kampeni!!!

Ile mbungi ingekuwa Jakaya ni kiongozi kutokea kwa Wakristo sijui kama upinzani wasingezika vijana wengi kabla ya Uchaguzi wenyewe!!!

Viongozi wa Dini wanapaswa kuwapa mafundisho yenye kuwapa hekima kuwapa ujasiri
Wa kuvumilia kuona wasichopenda kwenye macho yao

uhongozi ni busara nyingi nyingi
Hili tuwaepushe Viongozi wetu na vidonda vyenye kuepukika kwenye nafsi zao,

kuuwa Binadamu mwengine ni jambo bayaaa kwa nafsi
yoyote hile✍️
Exactly... viongozi wa kikristo wanakuwa makatili na mafisadi na wenye roho mbaya

Wasipewe Nchi kabisa.
 
Mo29 isingekuwepo kama sio rasilimali zao KANISA katoliki kutumika vibaya kuchagiza kuchochea Watoto kupinga Uchaguzi wa October
Rasilimali zao KANISA katoliki zilichagiza kuchochea na vijana wa kiislamu au unataka kusema waliouliwa wote walikuwa vijana wa kutoka kanisa katoliki??
 
Back
Top Bottom