Rasilimali zao KANISA katoliki zilichagiza kuchochea na vijana wa kiislamu au unataka kusema waliouliwa wote walikuwa vijana wa kutoka kanisa katoliki??
Mimi nimesema kweli tupu jiulize kwanini Kanisa Kotoliki limetangaza kufanya Misa ya kuwaombea waanga wa Mo29 ❗

Mbona Wakristo madhehebu mengine yapo kimyaa sembuse waislamu ❗
Sisi wengine tumekuwepo kwenye mauaji ya tarehe 27/01/20001 chini ya Rais Benjamin William Mkapa dhidi ya wafuasi wa chama cha Upinzani cha CUF baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2000
kati ya Benjamin William Mkapa Mkristo Mkatoliki
dhidi
ya Profesa Ibrahim Lipumba muislamu wa chama cha CUF
Kabisa katoliki walikuwa upande wa Serikali hii ya CCM tena walikuwa wanatoa Matamko ya kipigo kwa Upinzani kiongezwe Zaidi!! ❗❗

Sembuse kufanya MISA ya kuwaombea wafuasi wa Upinzani kutokea CUF 😳😳
Sasa leo unajiuliza mbona wapinzani wanafanyiwa MISA
Wapinzani wamekuwa Malaika tangu lini
Wale wa 20001 kupitia CUF wamekufa nanini sio risasi za Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania ☠️
Wamekufa kudai nini utagundua ni kilekile Tume huru ya Uchaguzi manake Wamekufa kudai Demokrasia Tanzania 🇹🇿
Swali Mbona Kanisa katoliki wamewatazama kwa chuki wale wa wapinzani wa CUF ❗

tofauti na wapinzani wa Chadema wasasa tunatangaziwa na MISA kabisa ya kuwakumbusha❗
Mimi sisemi jambo lao ni baya hapana kuwaombea kuwakumbuka wenzetu
Lkn Demokrasia ya Kanisa inamakengeza yasio na
aibu kabisa🤠
ndiomana nasema wanacheza na akili za watoto wa mwaka 2007 wsiojua huko nyuma kulitokea nini na wao kama Kanisa katoliki walisimamia wapi ✍️