Mfahamu Mzee wa miaka zaidi ya sitini lakini muonekano wa ujana kabisa

Mfahamu Mzee wa miaka zaidi ya sitini lakini muonekano wa ujana kabisa

Alexido jz instagram

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2026
Posts
4,686
Reaction score
10,018
Anaitwa chuan do tan ni Mzee alizaliwa march 3, 1966, Singapore ni mpiga picha kwa sasa kaingia kwenye mitindo baada ya makaampuni makubwa kumfata wafanye nae KAZI.

jamaa mzee lakini anaonekana kama alizaliwa 2000, noma sana, jamaa kabeba tuzo nyingi sana za mitindo.
 

Attachments

  • Screenshot_20261025-142821.jpg
    Screenshot_20261025-142821.jpg
    69.7 KB · Views: 13
  • Screenshot_20261025-142722.jpg
    Screenshot_20261025-142722.jpg
    85.1 KB · Views: 13
Ange kua na hizo pigo ange kua kesha zeeka mkuu, huyo ni gangster sema jamaa mpaka leo haajulikanagi kama ana mke au watoto, nisha chunguza hilo sijawahi PATA info
Ulichunguzia wapi kijana,masaa 24 ulikuwa ukishinda Lumumba ukipiga debe....!!!

Lumumba umetoka juzi tu kwenda kurekodi....!
 
Back
Top Bottom