Hijja ya mwaka 2026 yaiingizia Saudia arabia zaidi ya dollar Bilioni 15

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
Baada ya fedha zitokanazo na mafuta nchini saudi Arabia, utalii wa kidini (Hijja na Umra) ndiyo chanzo cha pili cha mapato kwa nchi hiyo. Mwaka huu pekee nchi hiyo imeingiza zaidi ya dollar za kimarekani bilioni 15 sawa na shilingi za kitanzania Trilioni 39.68.

Saudia wanapanga kuongeza na kuimarisha biashara hiyo hadi ikifika mwaka 2030 utalii wa kidini nchi humo uvutie zaidi ya watu milioni 30 ili kuzalisha zaidi ya dola za kimarekani bilioni 81.7.

Wakati wengine wanakwenda Israeli au Maka kwa hija za dini zao, jee sisi waafrika hatuwezi kuanzisha hija kwa ajili ya kuwaenzi watu wetu tunaoona ni watu mashuhuri ili kuingizia mataifa yetu fedha za kigeni na kuzalisha ajira?
 
Akili yako ina ukingo kama mbio za sakafuni.
 
Baada ya fedha zitokanazo na mafuta nchini saudi Arabia, utalii wa kidini (Hijja na Umra) ndiyo chanzo cha pili cha mapato kwa nchi hiyo. Mwaka huu pekee nchi hiyo imeingiza zaidi ya dollar za kimarekani bilioni 15 sawa na shilingi za kitanzania Trilioni 39.68.
Tutashangilia sana mapato ya wenzetu huku yetu yakichotwa na vijani
 
You are failure.... You are failure, you can never make it
Unajua kwa nini marangu water fall wazungu jamii ya Holland(Dutch) hufika pale kuoga!?..
1000021964.jpg
 
Baada ya fedha zitokanazo na mafuta nchini saudi Arabia, utalii wa kidini (Hijja na Umra) ndiyo chanzo cha pili cha mapato kwa nchi hiyo. Mwaka huu pekee nchi hiyo imeingiza zaidi ya dollar za kimarekani bilioni 15 sawa na shilingi za kitanzania Trilioni 39.68.

Saudia wanapanga kuongeza na kuimarisha biashara hiyo hadi ikifika mwaka 2030 utalii wa kidini nchi humo uvutie zaidi ya watu milioni 30 ili kuzalisha zaidi ya dola za kimarekani bilioni 81.7.

Wakati wengine wanakwenda Israeli au Maka kwa hija za dini zao, jee sisi waafrika hatuwezi kuanzisha hija kwa ajili ya kuwaenzi watu wetu tunaoona ni watu mashuhuri ili kuingizia mataifa yetu fedha za kigeni na kuzalisha ajira?
Kila nchi, mtu amepewa namna yake ya kupata fedha, tuna mlima kilimanjaro kama tutautumia vizuri tutapata pesa
 
Alafu kuna mjinga mmoja anakaa kumtukana mfanyabiashara Mwamposa, kila mtu anakula kwa zamu yake.

Yohana 4:21
[21]Yesu akamwambia, Mama, unisadiki, saa inakuja ambayo hamtamwabudu Baba katika mlima huu, wala kule Yerusalemu.

Kila nikisoma hii, dini na madhehebu ni utapeli
 
Back
Top Bottom