Hijja ya mwaka 2026 yaiingizia Saudia arabia zaidi ya dollar Bilioni 15

Al Kaaba
• Msingi wake uliwekwa na nabii Adam,
• Msingi umenyanyuliwa na nabii Ibrahim na mtoto wake Ismail.
• Ni nyumba ya kwanza ya ibada kujengwa duniani
• Iko katikat ya Dunia

Utakufa kwa wivu
Hakuna mambo ya wivu hapa,hapa ni kuplani mambo kwa akili na kupiga pesa/
 
TRA sijui walikuwa wapi... huyu babu ilibidi akadiriwe ili nchi ivune chochote kitu. Nchi ilipokea watalii wengi sana huu mwaka.
 
Attachments

  • images (4).jpeg
    images (4).jpeg
    67.3 KB · Views: 4
Hakuna mambo ya wivu hapa,hapa ni kuplani mambo kwa akili na kupiga pesa/
Tatizo lenu mna chuki na watu ambao hawawajui.
Unamchukia mtu hata ukimwambia unatokea Tanzania,anakuuliza iko sehemu gani?

Husiwachukie watu ambao tayar washabarikiwa.
 
Mkuu sina wivu wala chuki yoyote,ispokuwa binafsi naiona kama fursa ikichangamkiwa vuzuri,ikatungiwa stori safi ikahusishwa na imani,tayari,si lazima upige pesa kwa njia za manabii ni kubuni tu njia mbadala.
#Kwani hujaona wale wanaokwenda kuhiji ziwa duluti?
 
Kila nchi, mtu amepewa namna yake ya kupata fedha, tuna mlima kilimanjaro kama tutautumia vizuri tutapata pesa
Mtu mweusi hana future.... viongozi wao wanawaza kuiba na kwenda kutunza ulaya na Amerika.

Wana rasilimali kibao. Ajabu wananchi wao hawana hata maji
 
Mkuu sina wivu wala chuki yoyote,ispokuwa binafsi naiona kama fursa ikichangamkiwa vuzuri,ikatungiwa stori safi ikahusishwa na imani,tayari,si lazima upige pesa kwa njia za manabii ni kubuni tu njia mbadala.
#Kwani hujaona wale wanaokwenda kuhiji ziwa duluti?
Njia mbadara ni kuuza madawa kama north Korea
 
Back
Top Bottom