Sekretariet wameniweka kwenye answering machine kwa zaidi ya lisaa na salio linaenda

Sekretariet wameniweka kwenye answering machine kwa zaidi ya lisaa na salio linaenda

ugali dagaa

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2013
Posts
1,286
Reaction score
1,130
Nawapigia hawa miungu watoa ajira wameniweka kwenye answering machine zaidi ya lisaa sasa sijui ni dharau, kibri au ndiyo aliyeshiba hamburgers mwenye njaa ila nachos jua ni kinyume vha sheria za mamlaka ya mawasiliano tabia hii pia wanayo nssf...hayo ni makosa na kinyume cha sheria ngoja mawakili waje
 
Nchi hii hakuna taasisi/ofisini ya Umama iliyo committed kutoa huduma (Hata mahospitali). Labda kwa sababu mikataba ya watumishi ina masharti ya kudumu, hadi mtu afikie 60 years.
 
Back
Top Bottom