Nchi ambazo ni kosa la jinai na kinyume cha Sheria kuacha dini yako.

Nchi ambazo ni kosa la jinai na kinyume cha Sheria kuacha dini yako.

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Zote ni nchi za Kiislamu zenye Sheria kali sana ikiwemo kifo au kifungo cha maisha kwa watu watakaohesabiwa kuachana na dini/ kukengeuka/ kuritadi .
1. Saudi Arabia
2. Iran
3. Qatar
4. UAE
5. Afghanistan
6. Mauritania
7. Yemen
8. Brunei
9. Maldives
10. Pakistan
11. Somalia
12. Malysia
 
Ndio maisha yao, mnawaonea wivu? Wekeni ya kwenu ukiacha kabila lako ni kosa la jinai.

Mliacha dini zenu mkafata dini zao, endeleeni na utumwa wa maisha.

Na sasa mnafata demokrasia zao na ustaarab wao.
 
Dini ni Imani,unaweza vaa kanzu wakati Imani Yako IPO kwingine wala dini sio mavazi wala jengo Bali kile unachoaamini!!!

Unaweza sujudu kwa Mungu mwingine na sio huyo ambaye watu wanadhani!!!

Yote mahangaiko TU ya ulimwengu haya!!
 
Ndio maisha yao, mnawaonea wivu? Wekeni ya kwenu ukiacha kabila lako ni kosa la jinai.

Mliacha dini zenu mkafata dini zao, endeleeni na utumwa wa maisha.

Na sasa mnafata demokrasia zao na ustaarab wao.
Tukiachana na demokrasia, turudi kwenye machifu wa kikabila. Kila kabila na eneo lake na hivyo Kila kabila na nchi yake. Au unatakaje kwa suala la demokrasia?
 
Kama hiyo dini ni nzuri sana kwa nini wanatumia nguvu?
 
Kwani si wameamua uwe ndio mfumo wao wamaisha kuna shida gani??
 
Huku Afrika hata kama umezaliwa nje ya nchi ukirudi unaulizwa wewe kabila gani. Hili nalo ni tatizo.
 
Tukiachana na demokrasia, turudi kwenye machifu wa kikabila. Kila kabila na eneo lake na hivyo Kila kabila na nchi yake. Au unatakaje kwa suala la demokrasia?
Nataka muendelee kuteseka na kuendelea kuwa watumwa
 
Kwani si wameamua uwe ndio mfumo wao wamaisha kuna shida gani??
Mfumo wa kulazimisha raia Waislamu kubaki kuwa Waislamu siku zote hata kama wakigundua dini yao ni hadithi za kutungwa au haina tija yoyote?
 
Zote ni nchi za Kiislamu zenye Sheria kali sana ikiwemo kifo au kifungo cha maisha kwa watu watakaohesabiwa kuachana na dini/ kukengeuka/ kuritadi .
1. Saudi Arabia
2. Iran
3. Qatar
4. UAE
5. Afghanistan
6. Mauritania
7. Yemen
8. Brunei
9. Maldives
10. Pakistan
11. Somalia
12. Malysia
Duh,
Huko ni kuingilia haki ya watu kutumia akili na utashi wao kuamua mambo binafsi. Inasikitisha sana
 
Sema ukitoka uislam ndio adhabu zake, ukifanya vice verse unapewa heshima kubwa na hela sometimes
 
Mfumo wa kulazimisha raia Waislamu kubaki kuwa Waislamu siku zote hata kama wakigundua dini yao ni hadithi za kutungwa au haina tija yoyote?
2:256 Al Qur’an
Hakuna sehemu uislam unalazimisha mtu kuingia kwenye uislam
Ukiona mtu analazimisha mwengine kuingia kwenye uislam ujue anaenda kinyume na Qur’an aya hio hapo juu
Sasa muislam gani anaelazimisha wengine kua waislam na akiwalazimisha anakua anatumia kigezo gani???
 
Ndio maisha yao, mnawaonea wivu? Wekeni ya kwenu ukiacha kabila lako ni kosa la jinai.

Mliacha dini zenu mkafata dini zao, endeleeni na utumwa wa maisha.

Na sasa mnafata demokrasia zao na ustaarab wao.
Hata wenyewe hawayapendi ndio maana kila siku wanazamia kwa mabeberu
 
Hata wenyewe hawayapendi ndio maana kila siku wanazamia kwa mabeberu
Kweli kwasababu hao washenzi ndio walovamia nchi zao na kuziharibu ulitaka wakimbilie tanzania
Waarabu wameanza kukimbia nchi zao baada ya kuanza kuwamia na kuwaharibia mataifa yao
 
Kwani zenj ndio nani mbele ya Qur’an ambayo ndio muongozo wa huo uislam
S a w alikuta masinagogi madina huko mbona hakuzuia watu kuabudu wala kuvunja
S a w aliekeana mpaka mikataba ya kuwalinda wasiokua waislam ili wafanye ibada zao
Acheni kukurupuka
Kobaz wote wangewaza kama wewe mizozo mingi ingeepukika
 
Kobaz wote wangewaza kama wewe mizozo mingi ingeepukika
Ishu wala sio kobaz wala uislam ishu ni watu wanaotumiwa kuuchafua uislam ambao sio waislam
Haiwezekani uislam umeamrisha kusoma halafu Afghanistan wanaojiita waislam wanazuia wanawake kusoma hawa wametumia uislam upi kukataza wanawake kusoma
Kule Allah kakataza waislam kwa waislam kuuana na kuua wasiokua waislam huku wanaojiita waislam wanauana wao wenyewe kwa wenyewe na kuua wasiokua waislam bila sababu
Huku s w kakataza kulazmisha watu kua waislam ila huku kuna wanaojiita waislam wanalazmisha watu kua waislam
Uislam umenyooka shida ni baadhi ya wasiokua waislam kutaka kuuchafua uislam
 
Back
Top Bottom