Kosa la Makonda kwenye jezi ni kuukataa mkataba halali hata kama mbovu.

Kosa la Makonda kwenye jezi ni kuukataa mkataba halali hata kama mbovu.

Angekua genuine angekataa mkataba wa ujenzi uliongeza gharama ule uwanja wa Arusha aache ujanja ujanja watumie nguvu kubwa kuandaa team na sio ujanja ujanja wa jezi ni bora tucheze tumbo wazi na timu nzuri kuliko kuwa na jezi nzuri na timu mbovu
 
Mbona hakukataa ubunge feki ambao haukutokana na kura za wanachi?
 
Angekua genuine angekataa mkataba wa ujenzi uliongeza gharama ule uwanja wa Arusha aache ujanja ujanja watumie nguvu kubwa kuandaa team na sio ujanja ujanja wa jezi ni bora tucheze tumbo wazi na timu nzuri kuliko kuwa na jezi nzuri na timu mbovu
Alitakiwa kuonyesha ubovu wa jezi uko wapi. Wakati mkataba unafungwa kulikuwa na waziri wa serikali pia kama yeye. Lazima aheshimu kuwa kulikuwa na waziri na serikali ni moja na endelevu. Labda viongozi wasukuma ndivyo walivyo, maana hata Magufuli alikujaga na swaga kama hizo kuhusu mikataba halali ya madini na mengine.
 
unafiki wa kiwango cha changarawe.. ule mkataba ulioliwa Bil. 180/- hajauona wala kuusikia.
 
Kama mkataba ni mbovu lakini ni halali basi ni halali hata kama ni mbovu. Kikubwa angalia wapi umekiukwa au subiria hadi umalizike.
Makonda ameona mkataba wa pesa ndefu ila yeye HAYUMO kwenye GANJI ndiyo inayomuuma.
 
Siku zote mtu aliyezoea madili ya wizi hudhani kila mtumishi ana mpango ya wizi. Kiuhalisia kila mwenye nafasi yake huko serekalini akipata upenyo ni kupiga tu !! Ngondo inaanza pale ambapo dili limepita bila kiongozi mwenye mamlaka kuhusishwa .... Utasikia tu kuwa ametumwa na Samia ahakikishe pesa haitumiki vibaya. :AwkwardFlushed:
 
Kama kuna aina yoyote ya kosa ameligundua wa kumlaumu yeye angekuwa ni BMT, sio mzabuni wala TFF. Alipaswa kuwauliza BMT na BMT wamuulize TFF na TFF wakamuulize mzabuni badala ya yeye ku loop moja kwa moja hadi kwa mzabuni.
 
Labda alitamani ile jezi ya Samia aliyoinadi huko majuu siku za karibuni ndio iwe jezi ya timu ya taifa ya Tanzania hata kama inafanana na kichwa cha mwendawazimu.
 
Back
Top Bottom