Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Hizi ni Moja ya kanuni za mwanaume makini.
Nikweli wanaume tunakosea na tuna makosa mengi tu kama binadamu lakini kitendo Cha kuombaomba msamaha Kwa mwanamke hiyo fuse imeshakata Haina mawasiliano tena.
Mwanaume hupaswi kuomba msamaha Direct au kukiri kosa Moja Kwa Moja ni HAPANA badala yake tumia Neno YAMEISHA SASA.
Hapo utakuwa umeomba msamaha na kukiri kosa Kwa mpigo.
Ikiwa wewe utajiona fuse yako Iko active mno kiasi kwamba unaweza kuombaomba msamaha Kwa mkeo basi uelewe brand yako unaishusha mwenyewe.
Umechelewa kufika home unaanza kuomba msamaha oooh wife I'm sorry Leo nimechelewa tulikuwa na kikao mara gari imeharibika nk......wewe ni lofa.
Badala yake mpe Taarifa Leo nitachelewa kufika nyumbani kama Kuna umuhimu wa kufanya hivyo.
Hawa viumbe hawapendi wanaume mlege mlege wanaume mdebwedo!
Kuna jirani yangu alifumaniwa live na mke wake Kwa macho yake lakini hakukubali kamwe wala kuomba msamaha.
Mwanamke akaenda kwao jamaa alikaza Hadi akarudi ila sisi tukimuuliza anakubli kuwa ni kweli amefumaniwa Kisha anatuomba ushauri namna ya ku solve wengine walimwambia kubali kosa na umwambie akupige faini kama adhabu ili akusamehe Mwamba aligoma kabisa hawakujua kuwa Fuse za namna hiyo mjuba zimeshaungua kitambo!
Hawa viumbe akiwa hakuhitaji hata uombe msamaha unalia umnunulie na gari ama ufanye nini atakuacha tu kwa kisingizio Cha kosa ulilolikiri!